title : WAZIRI WA UVUVI NA MIFUGO LUHAGA MPINA ATEMBELEA BANDA LA TAASISI YA PASS KATIKA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI SIMIYU
kiungo : WAZIRI WA UVUVI NA MIFUGO LUHAGA MPINA ATEMBELEA BANDA LA TAASISI YA PASS KATIKA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI SIMIYU
WAZIRI WA UVUVI NA MIFUGO LUHAGA MPINA ATEMBELEA BANDA LA TAASISI YA PASS KATIKA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI SIMIYU
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kusaidia Sekta Binafsi zinazojihusisha na masuala ya Kilimo,Uvuvi na Ufugaji ,(PASS) Nicomed Bohay akimuonesha Waziri wa Uvuvi na Mifugo,Luhaga Mpina mfano wa Bwawa linalotumika kufugia samaki ,Mabwawa ambayo Taasisi ya PASS imekuwa ikisadia katika upatikanaji wa mikopo kwa Wafugaji wa Samaki ili waweze kufuga kisasa.
Mmoja wa wanufaika wa huduma zinazotolewa na Taasisi binafsi ya kusaidia sekta ya Kilimo nchini (PASS) ikiwemo ya unenepeshaji wa Ngombe Michael Tegeshi akitoa maelezo kwa Waziri wa Uvuvi na Mifugo,Luhaga Mpina alipotembelea banda la taasisi hiyo katika maonesho ya nane nane yanayofanyika katika viwanja vya Nyakabindi mkoni Simiyu.
Waziri wa Uvuvi na Mifugo,Luhaga Mpina akitizama Mchele uliowekwa vizuri katika mifuko kwa ajili ya kuongeza thamani ,Mchele huo unaandaliwa na vikundi ambavyo vimepata msaada kutoa katika taassi hiyo.
Meneja wa PASS Trust tawi la Mtwara ,Isaac Kileo akitoa maelezo kwa Waziri wa Uvuvi na Mifugo Luhaga Mpina alipotembelea banda la taasisi hiyo katika maonesho ya nane nane yanayofanyika kitaifa katika mkoa wa Simiyu
Waziri wa Uvuvi na Mifugo,Luhaga Mpina akimsikiliza Mkurugenzi wa Biashara PASS,Kilo Rusewa alipotembelea katika Banda la taasisi hiyo katika viwanja vya nane nane mkoani Simyu.
Hivyo makala WAZIRI WA UVUVI NA MIFUGO LUHAGA MPINA ATEMBELEA BANDA LA TAASISI YA PASS KATIKA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI SIMIYU
yaani makala yote WAZIRI WA UVUVI NA MIFUGO LUHAGA MPINA ATEMBELEA BANDA LA TAASISI YA PASS KATIKA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI SIMIYU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI WA UVUVI NA MIFUGO LUHAGA MPINA ATEMBELEA BANDA LA TAASISI YA PASS KATIKA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI SIMIYU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/waziri-wa-uvuvi-na-mifugo-luhaga-mpina.html
0 Response to "WAZIRI WA UVUVI NA MIFUGO LUHAGA MPINA ATEMBELEA BANDA LA TAASISI YA PASS KATIKA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI SIMIYU"
Post a Comment