WAZANZIBAR SASA KUTAMBULIWA KIDIGITALI (E-ID CARD)

WAZANZIBAR SASA KUTAMBULIWA KIDIGITALI (E-ID CARD) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZANZIBAR SASA KUTAMBULIWA KIDIGITALI (E-ID CARD), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZANZIBAR SASA KUTAMBULIWA KIDIGITALI (E-ID CARD)
kiungo : WAZANZIBAR SASA KUTAMBULIWA KIDIGITALI (E-ID CARD)

soma pia


WAZANZIBAR SASA KUTAMBULIWA KIDIGITALI (E-ID CARD)

*Ni baada ya kuimarishwa kwa mifumo ya kuhifadhi taarifa kieletroniki. 


MWENDO ni wa kidigitali! Hivyo ndivyo unaweza kuelezea baada ya Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar kuamua kuingia kwenye mfumo wa kieletroniki katika kusajili wakaazi wa Zanzibar (E-ID CARD). 

 Hivyo Wakala hiyo imeamua kuingia katika mfumo wa kisasa zaidi katikka kuhifadhi kumbukumbu za wakaazi wa Zanzibar na kwamba hivi sasa taarifa zao muhimu zitatuzwa kwenye mfumo wa kidigitali. Hayo yameleezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii, Dk. Hussein Khamis Shaaban wakati anazungumzia mikakati yao katika kuboresha na kuhifadhi taarifa za wakaazi wa Zanzibar ambapo ametumia nafasi hiyo kuwahamisisha kujitokeza katika kuboresha taarifa zao kupitia mfumo wa kidigitali. 

 "Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar imeamua kuanzisha vituo maalumu ambavyo vitatumika kuwasajili wananchi katika mfumo huo wa kieletroniki ambao maarufu zaidi kama mfumo wa kidigitali,"amefafanua Dk.Shaaban. Pia amesema pamoja na kuhakikisha taarifa hizo zinakuwa katika mfumo wa kisasa wa kutunza kumbukumbu za wananchi wa Zanzibar bado wanaamini utasaidia katika kulinda usalama wa nchi sambamba na kuwatambua kwa kina Wazanzibari wenye makazi ya kudumu visiwani humo na kwamba mfumo huo unaifanya nchi hiyo kupiga hatua zaidi katika matumizi ya kieletroniki katika kutunza kutunza na kutambua watu wake. 

 Mfumo huu mpya utasaidia katika kutoa huduma kwa haraka kwani taarifa zitakazoifadhiwa katika mfumo huo zitatumika na mamlaka nyingine kama Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZRB), Idara ya Uhamiaji, National Internet Data Center (NIDC), Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Msajili wa Makampuni, mfumo wa hosptali (e-health) na mfumo wa utalii. Hata hivyo baada ya kukamilisha mifumo hiyo ya kieletroniki jukumu linaloendelea sasa ni kuhamasisha wananchi kuanza kujitokeza kwa ajili ya kuboresha kumbukumbu zao na siku za karibuni watatangaziwa siku ya kuanza kwa mchakato huo . 

Baadhi ya Vituo vya Usajili vinavyokamilishwa kila kila wilaya ya Unguja na Pemba 
Dr Hussein Khamis Shaaban, Mkurugenzi mtendandaji wa wakala wa usajili wa matukio ya kijamii akikagua Nyaraka za Kale za vizazi na vifo ambazo zinachakatwa kuwekwa katika mfumo wa Kidigitali
Nyaraka zenye kumbu kumbu za wazanzibari za Uzazi, Vifo, Talaka, Ndoa na na utambulisho tangu 1909
Msajili wa vizazi na vifo Wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja akichambua Taarifa za mwananchi ili kujaza vyeti mbali mbali vya Wazanzibar 

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>>



Hivyo makala WAZANZIBAR SASA KUTAMBULIWA KIDIGITALI (E-ID CARD)

yaani makala yote WAZANZIBAR SASA KUTAMBULIWA KIDIGITALI (E-ID CARD) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZANZIBAR SASA KUTAMBULIWA KIDIGITALI (E-ID CARD) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/wazanzibar-sasa-kutambuliwa-kidigitali.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZANZIBAR SASA KUTAMBULIWA KIDIGITALI (E-ID CARD)"

Post a Comment