title : WANAWAKE KUNUFAIKA NA HUDUMA YA HEDHI SALAMA KIMTANDAO
kiungo : WANAWAKE KUNUFAIKA NA HUDUMA YA HEDHI SALAMA KIMTANDAO
WANAWAKE KUNUFAIKA NA HUDUMA YA HEDHI SALAMA KIMTANDAO
Na Khadija Seif,Globu ya jamii
Washiriki wanaowania taji la Ulimbwende kwa mkoa wa Dar es salaam, wametakiwa kuzungumza na wanawake hasa wasichana wadogo na kusambaza elimu kuhusu hedhi salama ili kupunguza na kutokomeza mimba za utotoni na zisizotarajiwa pamoja na matatzo ya afya ya uzazi kwa ujumla
Hayo yamebainishwa leo na Mwanzilishi na Mkurugenzi wa taasisi ya Anuflo Industries Flora Njelekel,alipokuwa akizungumza na warembo mbalimbali kuhusu Afya ya uzazi pamoja na hedhi salama.

Njelekela Alisema kuwa kwani wasichana wengi wamekua wakipitia changamoto ya kupata maumivu makali pindi wanapoingia kwenye hedhi zao.
"Nimekutana na walimbwende na kuwapa machache kuhusu huduma ya hedhi salama itakayowafikia wahitaji kwa njia ya mtandao, ambayo itawasaidia wanawake kujua mzunguko wao wa hedhi na afya kuhusu hedhi salama,kuepuka mimba zisizotarajiwa na pia itawapa fursa kuongea na mdaktari kuhusu afya ya uzazi",alisema Njelekela.
Alisema kuwa huduma hiyo itawasaidia wanawake kufanya vipimo vya hedhi pamoja vipimo vingine vya saratani ya matiti .
Mwanzilishi na Mkurugenzi wa taasisi ya Anuflo Industries, Flora Njelekela akifafanua kuhusu namna ya kujifunza mambo mbalimbali ya afya kwa njia ya mtandao.Picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii
Mwanzilishi na Mkurugenzi wa taasisi ya Anuflo Industries,Flora Njelekela akifafanua jambo mbele ua Warembo mbalimbali leo jijini Dar as Salaam kuhusu afaya ya uzazi pamoja na hedhi salama,pichani kulia ni Mkurugenzi Msaidizi,Carolyne Njung’e.Mwanzilishi na Mkurugenzi wa taasisi ya Anuflo Industries, Flora Njelekela akiwa katika picha na warembo leo jijini Dar as Salaam.picha ya pamoja

Hivyo makala WANAWAKE KUNUFAIKA NA HUDUMA YA HEDHI SALAMA KIMTANDAO
yaani makala yote WANAWAKE KUNUFAIKA NA HUDUMA YA HEDHI SALAMA KIMTANDAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANAWAKE KUNUFAIKA NA HUDUMA YA HEDHI SALAMA KIMTANDAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/wanawake-kunufaika-na-huduma-ya-hedhi.html
0 Response to "WANAWAKE KUNUFAIKA NA HUDUMA YA HEDHI SALAMA KIMTANDAO"
Post a Comment