title : Wananchi Visiwani Zanzibar Wajitokeza Kupima Afya Zao na Kuchangia Damu Katika Viwanja Vya Maisara Zanzibar. Kambi ya Siku Mbili Ilioandaliwa na Taasisi ya Jamii Bora.
kiungo : Wananchi Visiwani Zanzibar Wajitokeza Kupima Afya Zao na Kuchangia Damu Katika Viwanja Vya Maisara Zanzibar. Kambi ya Siku Mbili Ilioandaliwa na Taasisi ya Jamii Bora.
Wananchi Visiwani Zanzibar Wajitokeza Kupima Afya Zao na Kuchangia Damu Katika Viwanja Vya Maisara Zanzibar. Kambi ya Siku Mbili Ilioandaliwa na Taasisi ya Jamii Bora.
WANANCHI wakipata huduma ya vipimo vya Afya kutoka kwa Madaktari Bingwa wa maradhi mbalimbali katika viwanja vya Maisara Zanzibar wakati wa Kambi ya kuchunguza maradhi na Uchangiaji wa Damu ilioandaliwa na Jumuiya ya Jamiiyatul Akhlaaqul Islaam kwa kushirikiana Jamii Bora Health Services Network, wakitowa huduma hiyo
WANANCHI wakipata huduma ya vipimo vya Afya kutoka kwa Madaktari Bingwa wa maradhi mbalimbali katika viwanja vya Maisara Zanzibar wakati wa Kambi ya kuchunguza maradhi na Uchangiaji wa Damu ilioandaliwa na Jumuiya ya Jamiiyatul Akhlaaqul Islaam kwa kushirikiana Jamii Bora Health Services Network, wakitowa huduma hiyo
DAKTARI Mbarouk Khamis akimsiliza Mwananchi Nassor Juma, alipofika katika viwanja vya maisara Zanzibar kuchunguza afya yake wakati wa kambi ya kuchangia Damu na kuchunguza Afya za Wananchi wa magonjwa mbalimbali kambi hiyo imeandaliwa na Jumuiya ya Jamiiyatul Khlaaqul Islaamia kwa kushirikiana na Jamii Bora Health Services
DAKTARI wa Kitengo cha kuchangia Damu Muzalifa Amour akimfanyia vipimo vya kumpima presha Mwananchi aleyefika kuchangia damu wakati wa Kambi hiyo ya siku mbili katika viwanja vya Maisara Zanzibar
Hivyo makala Wananchi Visiwani Zanzibar Wajitokeza Kupima Afya Zao na Kuchangia Damu Katika Viwanja Vya Maisara Zanzibar. Kambi ya Siku Mbili Ilioandaliwa na Taasisi ya Jamii Bora.
yaani makala yote Wananchi Visiwani Zanzibar Wajitokeza Kupima Afya Zao na Kuchangia Damu Katika Viwanja Vya Maisara Zanzibar. Kambi ya Siku Mbili Ilioandaliwa na Taasisi ya Jamii Bora. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wananchi Visiwani Zanzibar Wajitokeza Kupima Afya Zao na Kuchangia Damu Katika Viwanja Vya Maisara Zanzibar. Kambi ya Siku Mbili Ilioandaliwa na Taasisi ya Jamii Bora. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/wananchi-visiwani-zanzibar-wajitokeza.html
0 Response to "Wananchi Visiwani Zanzibar Wajitokeza Kupima Afya Zao na Kuchangia Damu Katika Viwanja Vya Maisara Zanzibar. Kambi ya Siku Mbili Ilioandaliwa na Taasisi ya Jamii Bora."
Post a Comment