WAISLAMU LEO KUSHEREKEA IDD EL HAJJ

WAISLAMU LEO KUSHEREKEA IDD EL HAJJ - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAISLAMU LEO KUSHEREKEA IDD EL HAJJ, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAISLAMU LEO KUSHEREKEA IDD EL HAJJ
kiungo : WAISLAMU LEO KUSHEREKEA IDD EL HAJJ

soma pia


WAISLAMU LEO KUSHEREKEA IDD EL HAJJ

WAISLAMU nchini leo wanaungana na Waislamu wenzao katika nchi mbalimbali, kusherehekea sikukuu ya Idd el Hajj. Katika taarifa yake iliyotolewa hivi karibuni, Kaimu Katibu Mkuu wa Bakwata, Nuhu Mruma, alihimiza Waislamu wote kusherehekea siku hiyo kwa amani.
Akimnukuu Mufti wa Tanzania, Shehe Abubakar Zubeir, Katibu mkuu huyo alisema maadhimisho ya sikukuu hiyo kitaifa yatafanyika jijini Dar es Salaam. Pia alisema swala ya Idd leo hii itafanyika katika Uwanja wa Msikste Tamaa uliopo Vingunguti na Baraza la Idd litafanyika hapo hapo baada ya swala hiyo.


Hivyo makala WAISLAMU LEO KUSHEREKEA IDD EL HAJJ

yaani makala yote WAISLAMU LEO KUSHEREKEA IDD EL HAJJ Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAISLAMU LEO KUSHEREKEA IDD EL HAJJ mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/waislamu-leo-kusherekea-idd-el-hajj.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAISLAMU LEO KUSHEREKEA IDD EL HAJJ"

Post a Comment