Uzinduzi wa ZSSF Mobile App na kuadhimisha Miaka 20 ya mfuko huo wa jamii Zanzibar

Uzinduzi wa ZSSF Mobile App na kuadhimisha Miaka 20 ya mfuko huo wa jamii Zanzibar - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Uzinduzi wa ZSSF Mobile App na kuadhimisha Miaka 20 ya mfuko huo wa jamii Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Uzinduzi wa ZSSF Mobile App na kuadhimisha Miaka 20 ya mfuko huo wa jamii Zanzibar
kiungo : Uzinduzi wa ZSSF Mobile App na kuadhimisha Miaka 20 ya mfuko huo wa jamii Zanzibar

soma pia


Uzinduzi wa ZSSF Mobile App na kuadhimisha Miaka 20 ya mfuko huo wa jamii Zanzibar

Senior Manager Retail Banking Azania Bank Mr. Jackson Lohay akizungumza na kutowa maelezo ya huduma zinazopatikana kupitia Benki ya Azania kwa Wananchi na Wateja wao wakati wa hafla ya Uzinduzi wa ZSSF Mobile App na kuadhimisha Miaka 20 pamoja na Mkutano Mkuu wa Nne wa Wadau wa Mfuko wa Jamii Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar. Azania Benk ni wadau wa Mfuko wa Jamii Zanzibar ambapo hutuoa huduma mbalimbali kwa Wanachama wa ZSSF.
Maofisa wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar wakifuatilia maelezo ya Mwakilishi wa Benki ya Azania wakati akitowa maelezo na fursa zinazopatikana kupitia Benki hiyo wakati wa Mkutano Mkuu wa Nne wa Wadau wa Mfuko huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar. 
Wadau wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar wakifuatilia mkutano huo wa Nne wa Wadau wa ZSSF uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar wakifuatilia Mkutano Mkuu wa Nne wa Wadfau wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar wakati Mwakilishi wa Benki ya Azania akitowa maelezo na fursa zinazotolewa na benki hiyo. Kusoma zaidi BOFYA HAPA


Hivyo makala Uzinduzi wa ZSSF Mobile App na kuadhimisha Miaka 20 ya mfuko huo wa jamii Zanzibar

yaani makala yote Uzinduzi wa ZSSF Mobile App na kuadhimisha Miaka 20 ya mfuko huo wa jamii Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Uzinduzi wa ZSSF Mobile App na kuadhimisha Miaka 20 ya mfuko huo wa jamii Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/uzinduzi-wa-zssf-mobile-app-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Uzinduzi wa ZSSF Mobile App na kuadhimisha Miaka 20 ya mfuko huo wa jamii Zanzibar"

Post a Comment