Ujumbe kutoka Falme za Kiarabu (UAE)Wawasili Zanzibar kwa ziara ya siku tatu

Ujumbe kutoka Falme za Kiarabu (UAE)Wawasili Zanzibar kwa ziara ya siku tatu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ujumbe kutoka Falme za Kiarabu (UAE)Wawasili Zanzibar kwa ziara ya siku tatu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ujumbe kutoka Falme za Kiarabu (UAE)Wawasili Zanzibar kwa ziara ya siku tatu
kiungo : Ujumbe kutoka Falme za Kiarabu (UAE)Wawasili Zanzibar kwa ziara ya siku tatu

soma pia


Ujumbe kutoka Falme za Kiarabu (UAE)Wawasili Zanzibar kwa ziara ya siku tatu

 Ujumbe kutoka Nchi za Falme za  Kiarabu (UAE)Wawasili zanzibar kwa ziara ya siku tatu kuja kuangalia miradi mbalimbali ya serikali kufuatia ziara ya Mhe,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein alioifanya katika Nchi hizo.

 Mshauri wa Rais  Ushirikiano wa Kimataifa Fedha na Uchumi Balozi Mohammed Ramia Abdi wapili kushoto akisalimiana na Wajumbe wa Msafara kutoka Nchi za Falme za Kiarabu(UAE)mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zanzibar kwa ziara ya siku Tatu  kuja kuangalia miradi mbalimbali ya serikali kufuatia ziara ya Mhe,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein alioifanya katika Nchi hizo.
 Mshauri wa Rais  Ushirikiano wa Kimataifa Fedha na Uchumi Balozi Mohammed Ramia Abdi akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kuupokea Ujumbe  kutoka Nchi za Falme za  Kiarabu (UAE) katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zanzibar uliofika Zanzibar kwa ziara ya siku Tatu  kuja kuangalia miradi mbalimbali ya serikali kufuatia ziara ya Mhe,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein alioifanya katika Nchi hizo. 
Kiongozi wa Msafara ambae ni Mshauri wa Waziri wa Nchi Ushirikiano wa Kimataifa wa Serikali ya Falme za kiarabu (UAE) Najla Alkaabi akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na ziara mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala Ujumbe kutoka Falme za Kiarabu (UAE)Wawasili Zanzibar kwa ziara ya siku tatu

yaani makala yote Ujumbe kutoka Falme za Kiarabu (UAE)Wawasili Zanzibar kwa ziara ya siku tatu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ujumbe kutoka Falme za Kiarabu (UAE)Wawasili Zanzibar kwa ziara ya siku tatu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/ujumbe-kutoka-falme-za-kiarabu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ujumbe kutoka Falme za Kiarabu (UAE)Wawasili Zanzibar kwa ziara ya siku tatu"

Post a Comment