title : Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kushirikiana na Ubalozi wa Marekani nchini kujenga Tanzania yenye Afya Bora ya Moyo
kiungo : Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kushirikiana na Ubalozi wa Marekani nchini kujenga Tanzania yenye Afya Bora ya Moyo
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kushirikiana na Ubalozi wa Marekani nchini kujenga Tanzania yenye Afya Bora ya Moyo

Mkurugenzi wa Magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akielezea maendeleo ya ukarabati wa jengo la watoto kwa Naibu Balozi wa Marekani nchini Mhe. Dkt. Inmi Patterson (wa pili kulia) alipotembelea Taasisi hiyo leo kwaajili ya kuona kambi maalum ya matibabu ya moyo inayofanywa na madaktari wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao kutoka Marekani (Madaktari Afrika).
Naibu Balozi wa Marekani nchini Mhe. Dkt. Inmi Patterson akitoka kuangalia ukarabati wa jengo la watoto la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) alipotembelea Taasisi hiyo leo kwaajili ya kuona kambi maalum ya matibabu ya moyo inayofanywa na madaktari wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao kutoka nchini Marekani (Madaktari Afrika).
Naibu Balozi wa Marekani nchini Mhe. Dkt. Inmi Patterson akiongea jambo na madaktari kutoka Marekani (Madaktari Afrika) walioko katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya kambi maalum ya matibabu kwa wagonjwa wenye matatizo ya mfumo wa umeme wa moyo. Jumla ya wagonjwa nane wameshafanyiwa matibabu katika kambi hiyo na hali zao zinaendelea vizuri.
Naibu Balozi wa Marekani nchini Mhe. Dkt. Inmi Patterson akimsalimia mtoto Catherine Mapunda ambaye amefanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Mhe. Patterson alitembelea Taasisi hiyo leo kwaajili ya kuona kambi maalum ya matibabu ya moyo inayofanywa na madaktari wa JKCI kwa kushirikiana na wataalam kutoka nchini Marekani (Madaktari Afrika).KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>
Hivyo makala Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kushirikiana na Ubalozi wa Marekani nchini kujenga Tanzania yenye Afya Bora ya Moyo
yaani makala yote Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kushirikiana na Ubalozi wa Marekani nchini kujenga Tanzania yenye Afya Bora ya Moyo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kushirikiana na Ubalozi wa Marekani nchini kujenga Tanzania yenye Afya Bora ya Moyo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/taasisi-ya-moyo-jakaya-kikwete-jkci.html
0 Response to "Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kushirikiana na Ubalozi wa Marekani nchini kujenga Tanzania yenye Afya Bora ya Moyo"
Post a Comment