title : Taarifa Zote za Wakaazi Zanzibar Kuhifadhiwa Kidigitali (E-ID CARD)
kiungo : Taarifa Zote za Wakaazi Zanzibar Kuhifadhiwa Kidigitali (E-ID CARD)
Taarifa Zote za Wakaazi Zanzibar Kuhifadhiwa Kidigitali (E-ID CARD)

Baadhi ya Vituo vya Usajili vinavyokamilishwa kila kila wilaya ya Unguja na Pemba
Mifumo mipya iliyofungwa ili kuhifadhi kumbukumbu kisasa (kidigitali).
Baadhi ya Vifaa vilivyoko ndani ya vituo vipya.
Baadhi ya Vifaa vilivyoko ndani ya vituo vipya .
Jengo jipya ambapo Ofisi kuu ya Wakala wa usajili wa matukio ya Kijamii Zanzibar
Mambo Msiige jengo la mwanzo lililotunza kumbukumbu za Wazanzibar za maswala ya matukio ya kijamii

Zaharan Nassor Mhifadhi Mkuu wa Nyaraka wa wakala wa usajili wa matukio ya kijamii Zanzibar akionyesha Nyaraka Kongwe zaidi yenye majina ya Uzazi kuanzia mwaka 1909 hadi 1911
Mhifadhi akichambua Taarifa katika Ghala la Nyaraka Ofisi kuu ya Mamlaka ya Usajili matukio ya kijamii Zanzibar.
Dr Hussein Khamis Shaaban, Mkurugenzi mtendandaji wa wakala wa usajili wa matukio ya kijamii akikagua Nyaraka za Kale za vizazi na vifo ambazo zinachakatwa kuwekwa katika mfumo wa Kidigitali
Nyaraka zenye kumbu kumbu za wazanzibari za Uzazi, Vifo, Talaka, Ndoa na na utambulisho tangu 1909
Msajili wa vizazi na vifo Wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja akichambua Taarifa za mwananchi ili kujaza vyeti mbali mbali vya Wazanzibar .
Hivyo makala Taarifa Zote za Wakaazi Zanzibar Kuhifadhiwa Kidigitali (E-ID CARD)
yaani makala yote Taarifa Zote za Wakaazi Zanzibar Kuhifadhiwa Kidigitali (E-ID CARD) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Taarifa Zote za Wakaazi Zanzibar Kuhifadhiwa Kidigitali (E-ID CARD) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/taarifa-zote-za-wakaazi-zanzibar.html
0 Response to "Taarifa Zote za Wakaazi Zanzibar Kuhifadhiwa Kidigitali (E-ID CARD)"
Post a Comment