title : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UGENI KUTOKA BUNGE LA KENYA, MKUU WA WILAYA YA BAHI MTEULE LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
kiungo : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UGENI KUTOKA BUNGE LA KENYA, MKUU WA WILAYA YA BAHI MTEULE LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UGENI KUTOKA BUNGE LA KENYA, MKUU WA WILAYA YA BAHI MTEULE LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia) akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Kenya, Mhe. Moses Cheboi (wa pili kushoto) pale ugeni kutoka Bunge la Kenya ulipomtembelea leo tarehe 02 Agosti, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kutoka kulia ni Wabunge Mhe. Wafula Wamunyinyi na Mhe. Farhiya Haji (kushoto).
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na ugeni kutoka Bunge la Kenya ulipomtembelea leo tarehe 02 Agosti, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Ugeni huo ulioongozwa na Naibu Spika wa Bunge la Kenya, Mhe. Moses Cheboi (kulia kwake).
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Bunge la Kenya ulipomtembelea leo tarehe 02 Agosti 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wa pili kushoto ni Naibu Spika wa Bunge la Kenya, Mhe. Moses Cheboi, Mhe. Farhiya Haji (kushoto) na Mhe. Wafula Wamunyinyi
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mteule, Mhe. Mwanahamisi Mukunda alipomtembelea leo tarehe 02 Agosti, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mteule, Mhe. Mwanahamisi Mukunda alipomtembelea leo tarehe 02 Agosti, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kwa ajili ya kumpongeza na mazungumzo mafupi
(PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UGENI KUTOKA BUNGE LA KENYA, MKUU WA WILAYA YA BAHI MTEULE LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
yaani makala yote SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UGENI KUTOKA BUNGE LA KENYA, MKUU WA WILAYA YA BAHI MTEULE LEO BUNGENI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UGENI KUTOKA BUNGE LA KENYA, MKUU WA WILAYA YA BAHI MTEULE LEO BUNGENI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/spika-ndugai-akutana-na-kuzungumza-na.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UGENI KUTOKA BUNGE LA KENYA, MKUU WA WILAYA YA BAHI MTEULE LEO BUNGENI JIJINI DODOMA"
Post a Comment