RAIS WA UGANDA, YOWERI MUSEVENI KUFANYA ZIARA NCHINI AGOSTI 9, 2018

RAIS WA UGANDA, YOWERI MUSEVENI KUFANYA ZIARA NCHINI AGOSTI 9, 2018 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA UGANDA, YOWERI MUSEVENI KUFANYA ZIARA NCHINI AGOSTI 9, 2018, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS WA UGANDA, YOWERI MUSEVENI KUFANYA ZIARA NCHINI AGOSTI 9, 2018
kiungo : RAIS WA UGANDA, YOWERI MUSEVENI KUFANYA ZIARA NCHINI AGOSTI 9, 2018

soma pia


RAIS WA UGANDA, YOWERI MUSEVENI KUFANYA ZIARA NCHINI AGOSTI 9, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. John Magufuli (kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Uganda, Mh. Yoweri Museveni.

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni atafanya ziara ya kikazi ya siku moja hapa nchini tarehe 09 Agosti 2018.

Taarifa hiyo imetolewa leo 07 Agosti 2018 na Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa, lengo la ziara hiyo ni kuimarisha ushirikiano na ujirani mwema uliopo kati ya Tanzania na Uganda.

“Mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Mheshimiwa Rais Museveni atapokelewa na mwenyeji wake Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,” inaeleza sehemu ya taarifa hiyo.

Akiwa nchini, Mheshimiwa Rais Museveni atakutana kwa mazungumzo ya faragha na Mheshimiwa Rais Magufuli yatakayofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mazungumzo hayo yatafuatiwa na Chakula cha Mchana kilichoandaliwa na Mheshimiwa Rais Magufuli kwa heshima ya Mheshimiwa Rais Museveni.

Mheshimiwa Rais Museveni na Ujumbe wake wataondoka nchini siku hiyo hiyo kurejea Uganda.


Hivyo makala RAIS WA UGANDA, YOWERI MUSEVENI KUFANYA ZIARA NCHINI AGOSTI 9, 2018

yaani makala yote RAIS WA UGANDA, YOWERI MUSEVENI KUFANYA ZIARA NCHINI AGOSTI 9, 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA UGANDA, YOWERI MUSEVENI KUFANYA ZIARA NCHINI AGOSTI 9, 2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/rais-wa-uganda-yoweri-museveni-kufanya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS WA UGANDA, YOWERI MUSEVENI KUFANYA ZIARA NCHINI AGOSTI 9, 2018"

Post a Comment