RAIS WA TFF WAPANGA MIKAKATI NA RC MAKONDA.

RAIS WA TFF WAPANGA MIKAKATI NA RC MAKONDA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA TFF WAPANGA MIKAKATI NA RC MAKONDA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS WA TFF WAPANGA MIKAKATI NA RC MAKONDA.
kiungo : RAIS WA TFF WAPANGA MIKAKATI NA RC MAKONDA.

soma pia


RAIS WA TFF WAPANGA MIKAKATI NA RC MAKONDA.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda leo ametembelewa ofisini kwake na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia na Mwenyekiti wa Michezo Mkoa wa Dar es Salaam ambapo wamefanya mazungumzo ya kuimarisha sekta ya Michezo.

Miongoni mwa mambo waliyozungumzia ni Suala la heshima iliyopata Tanzania kuwa mwenyeji wa Michuano ya Mashindano makubwa ya michezo kwa Jeshi la Polisi katika nchi za mashariki na Kati zikihusisha Nchi Saba ambapo tayari michuano hiyo imefunguliwa rasmi siku ya Jana na Waziri mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.

Aidha wamezungumzia maandalizi ya mashindano makubwa ya SECAFA Cuf kwaajili ya michuano ya AFCON yakihusisha vijana wenye umri chini ya miaka 17 yanayotaraji kufanyika August 11 Mwaka huu kwenye uwanja wa Taifa yakijumuisha mataifa 10 Afrika.

RC Makonda amesema michuano yote hiyo itafanyika Jijini Dar es Salaam na kwakuwa inahusisha ugeni kutoka mataifa mbalimbali itatoa fursa kwa wananchi wa Dar es salaam hususani wenye hotel, vyakula, usafiri na wafanyabiashara kupata kipato kupitia mashinano hayo.

Kwa upande wake Rais wa TFF Wallance Karia amempongeza RC Makonda kwa jitiada za kuinua sekta ya michezo kupitia ujenzi wa uwanja wa Bandari ambapo amesema wameamua kumuomba ushirikiano kwakuwa wanaamini uwezo ukubwa alionao kwenye kusimamia jambo na kufanikisha.


Hivyo makala RAIS WA TFF WAPANGA MIKAKATI NA RC MAKONDA.

yaani makala yote RAIS WA TFF WAPANGA MIKAKATI NA RC MAKONDA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA TFF WAPANGA MIKAKATI NA RC MAKONDA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/rais-wa-tff-wapanga-mikakati-na-rc.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS WA TFF WAPANGA MIKAKATI NA RC MAKONDA."

Post a Comment