title : Rais Dk Shein arejea nchini kutoka Indonesia katika ziara ya kikazi
kiungo : Rais Dk Shein arejea nchini kutoka Indonesia katika ziara ya kikazi
Rais Dk Shein arejea nchini kutoka Indonesia katika ziara ya kikazi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiteremka katika Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud wakati wa mapokezi yake alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa kutumia Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud wakati wa mapokezi yake alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akiwa na Mkewe Mama Mwanawema Shein (wa pili kulia) pamoja na Ujumbe wake kwa kutumia Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati wa mapokezi yake alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa kutumia Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi wakati wa mapokezi yake alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa kutumia Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein(katikati) pamoja na Viongozi wengine akiwa na Mazungumzo na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar baada ya mapokezi yake alipowasili akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein(katikati) pamoja na Viongozi wengine akiwa na Mazungumzo na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar baada ya mapokezi yake alipowasili akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.] 06/08/2018.
Hivyo makala Rais Dk Shein arejea nchini kutoka Indonesia katika ziara ya kikazi
yaani makala yote Rais Dk Shein arejea nchini kutoka Indonesia katika ziara ya kikazi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein arejea nchini kutoka Indonesia katika ziara ya kikazi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/rais-dk-shein-arejea-nchini-kutoka.html
0 Response to "Rais Dk Shein arejea nchini kutoka Indonesia katika ziara ya kikazi"
Post a Comment