PROFESA NDALICHAKO AZINDUA BODI YA ELIMU YA WATU WAZIMA.

PROFESA NDALICHAKO AZINDUA BODI YA ELIMU YA WATU WAZIMA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PROFESA NDALICHAKO AZINDUA BODI YA ELIMU YA WATU WAZIMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PROFESA NDALICHAKO AZINDUA BODI YA ELIMU YA WATU WAZIMA.
kiungo : PROFESA NDALICHAKO AZINDUA BODI YA ELIMU YA WATU WAZIMA.

soma pia


PROFESA NDALICHAKO AZINDUA BODI YA ELIMU YA WATU WAZIMA.

Noel Rukanuga, Dar es Salaaa.
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na  ya Ufundi Profesa Joyce Ndalichako ameitaka Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) kufanya kazi kwa vitendo ili kufanikisha malengo katika nyanja mbalimbali.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Elimu ya watu Wazima Profesa Ndalichako, amesema kuwa taasisi hiyo inapaswa kufanya kazi kwa vitendo ili watanzania waweze kutambua mchango wao.

Amesema kuwa ili kufanikisha malengo ya taasisi ni vyema kuadhisha programu zinazoendana na watu wazima jambo ambalo litasaidia kufikia mipango husika.

Profesa Ndalichako amesema kuwa ubora wa mafunzo yatakayotolewa katika taasisi hiyo ni jambo la muhimu, kwani itasaidia kuleta manufaa kwa taifa.

"Naomba taasisi kujikita zaidi katika utamaduni wa kuwafundisha watu wazima katika kupenda kujiendeleza katika ngazi mbalimbali za elimu ili taifa liwe na watu walioelimika" amesema Profesa Ndalichako.

Amefafanua kuwa taasisi inapaswa kufanya uchambuzi wa nyaraka mbalimbali za serikali ili kutoa mafunzo kuendana na dira ya taifa.

"Baadhi ya wabunge pamoja na wadau  walihoji kuhusu umuhimu wa taasisi ya watu wazima, kutokana wameona kazi yenu haionekani" amesema Profesa Ndalichako.

Hata hivyo amewataka wajumbe wapya wa bodi kufanya kazi kwa ushirikiano na uongozi wa taasisi ya watu wazima ili kupiga hatua.

Profesa Ndalichako ameeleza kuwa  lazima kazi ya taasisi ya watu wazima zionekane kutokana serikali ya awamu ya tano inafanya kazi kwa vitendo.

"Tutumie nyaraka na nyenzo zote katika kufikia malengo" amesema Profesa Ndalichako.



Hivyo makala PROFESA NDALICHAKO AZINDUA BODI YA ELIMU YA WATU WAZIMA.

yaani makala yote PROFESA NDALICHAKO AZINDUA BODI YA ELIMU YA WATU WAZIMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PROFESA NDALICHAKO AZINDUA BODI YA ELIMU YA WATU WAZIMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/profesa-ndalichako-azindua-bodi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "PROFESA NDALICHAKO AZINDUA BODI YA ELIMU YA WATU WAZIMA."

Post a Comment