title : POLISIKILIMANJARO YANASA RAIA WA ETHIOPIA 25 WALIONGIA NCHINI BILA KUFUATA SHERIA
kiungo : POLISIKILIMANJARO YANASA RAIA WA ETHIOPIA 25 WALIONGIA NCHINI BILA KUFUATA SHERIA
POLISIKILIMANJARO YANASA RAIA WA ETHIOPIA 25 WALIONGIA NCHINI BILA KUFUATA SHERIA
Raia 25 wa Ethiopia waliokamatwa wakati wakijaribu kupita nchini bila ya kufuata Sheria wakishuka kwenye gari walipofikishwa kituo kikuu cha Polisi mjini Moshi.
Baadhi ya raia hao wa Ethiopia wakiwemo watoto tisa wenye umri chini ya miaka 18 wakiwa kituo kikuu cha Polisi mjini Moshi.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Hamis Issah akitoa taarifa juu y akukamatwa kwa raia 25 wa Ethiopia waliongia nchini bila ya kufuata Sheria.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini
Jeshi la Polisi linawashikilia raia 25 wa Ethiopia miongoni mwao tisa ni watoto wenye umri chini ya miaka 18 wakiwa katika kichaka eneo la Himo wakisubiri gari kwa ajili ya kuwavusha kuendelea na safari yao ya Afrika Kusini.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Maidizi wa Polisi,Hamis Issah amesema raia hao wa Ethiopia walikamatwa na askari Polisi wakati wa doria wakiwa na kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Baraka itema (25) aliyejitambulisha kama fundi ujenzi .
Raia hao 25 wa Ethiopia wanaendelea kuhojiwa na Idara ya Uhamiaji kwa kusaidiana na jshi la Polisi na kwamba mara baada ya taratibu kukamilika watafikishwa mbele ya vyombo vya sheria kujibu tuhuma zinazowakabili za kuingia nchini bila ya kibali.
Mwisho.
Hivyo makala POLISIKILIMANJARO YANASA RAIA WA ETHIOPIA 25 WALIONGIA NCHINI BILA KUFUATA SHERIA
yaani makala yote POLISIKILIMANJARO YANASA RAIA WA ETHIOPIA 25 WALIONGIA NCHINI BILA KUFUATA SHERIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala POLISIKILIMANJARO YANASA RAIA WA ETHIOPIA 25 WALIONGIA NCHINI BILA KUFUATA SHERIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/polisikilimanjaro-yanasa-raia-wa.html
0 Response to "POLISIKILIMANJARO YANASA RAIA WA ETHIOPIA 25 WALIONGIA NCHINI BILA KUFUATA SHERIA"
Post a Comment