NAONA FAHARI UWEKEZAJI WA MWANGA GEMS - KAIRUKI

NAONA FAHARI UWEKEZAJI WA MWANGA GEMS - KAIRUKI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAONA FAHARI UWEKEZAJI WA MWANGA GEMS - KAIRUKI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAONA FAHARI UWEKEZAJI WA MWANGA GEMS - KAIRUKI
kiungo : NAONA FAHARI UWEKEZAJI WA MWANGA GEMS - KAIRUKI

soma pia


NAONA FAHARI UWEKEZAJI WA MWANGA GEMS - KAIRUKI

Waziri wa Madini Angellah Kairuki (katikati) akitembelea maeneo mbalimbali katika kiwanda cha Kuchakata Madini ya Graphite cha GodMwanga Gems Ltd. Wa kwanza kulia ni Mmiliki wa kiwanda hicho Godlisten Mwanga na wa kwanza kuli kwa waziri ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Tumaini Magesa.
Mmiliki wa kampuni ya God Mwanga Gems Ltd.Godlisten (kulia) Mwanga akimwonesha Waziri wa Madini Angellah Kairuki madini ya Grahite ambayo tayari yamechakatwa.
Waziri wa Madini Angellah Kairuki (katikati) akipita katika maeneo mbalimbali ya kiwanda cha God Mwanga Gems Ltd kuona namna shughuli mbalimbali za uchakataji wa madini ya Kinywe zinavyofanyika.

Na Asteria Muhozya, Simanjiro

Waziri wa Madini Angellah Kairuki amesema anaona fahari kutokana na uwekezaji wa Kiwanda cha Kuchakata madini ya Kinywe (Graphite) uliofanywa na Kampuni ya wazawa ya GOD Mwanga Gems Ltd iliyopo Kata ya Endiamtu, Wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara. Waziri Kairuki ameyasema hayo leo tarehe 2 Agosti, alipotembelea kiwanda hicho kwa lengo la kujionea shughuli zinazofanywa na kiwandani hapo.

Amesema Serikali imekuwa ikihamasisha waombaji wa leseni za madini kuwekeza katika maeneo mbalimbali hivyo, jambo lililofanywa na kiwanda hicho ikiwemo malengo ya kiwanda husika kufungua viwanda vingine katika mikoa ya Tanga na Manyara ni jambo la kujivunia na fahari kwa Tanzania.

“Nimefurahishwa sana namna kampuni hii inavyofanya kazi. Serikali kupitia wizara yangu imekuwa ikihamasisha uwekezaji. Tuko tayari kuwasimamia na kuwasaidia katika hili. Tunataka kutengeneza ajira zaidi, kukuza uchumi kupitia madini lakini pia serikali kupata kodi,” amesisitiza Kairuki. Akijibu ombi la kampuni hiyo kupata kibali cha kuuza madini hayo nje, Waziri Kairuki ameahidi kampuni hiyo kuwa mara baada ya taratibu za utoaji vibali kukamilika Wizara kupitia Tume ya Madini itatoa kibali kwa kampuni husika iendelee na taratibu zake za kuuzwa nje ya nchi madini hayo.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI


Hivyo makala NAONA FAHARI UWEKEZAJI WA MWANGA GEMS - KAIRUKI

yaani makala yote NAONA FAHARI UWEKEZAJI WA MWANGA GEMS - KAIRUKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAONA FAHARI UWEKEZAJI WA MWANGA GEMS - KAIRUKI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/naona-fahari-uwekezaji-wa-mwanga-gems.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NAONA FAHARI UWEKEZAJI WA MWANGA GEMS - KAIRUKI"

Post a Comment