MUHIMBILI WATOA KIWANJA CHA UJENZI WA KITUO CHA POLISI MLOGANZILA

MUHIMBILI WATOA KIWANJA CHA UJENZI WA KITUO CHA POLISI MLOGANZILA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MUHIMBILI WATOA KIWANJA CHA UJENZI WA KITUO CHA POLISI MLOGANZILA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MUHIMBILI WATOA KIWANJA CHA UJENZI WA KITUO CHA POLISI MLOGANZILA
kiungo : MUHIMBILI WATOA KIWANJA CHA UJENZI WA KITUO CHA POLISI MLOGANZILA

soma pia


MUHIMBILI WATOA KIWANJA CHA UJENZI WA KITUO CHA POLISI MLOGANZILA

Kaimu Kamishna wa Fedha na Lojistiki, DCP Leonard Paul na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili Prof. Andrea Pembe wakisaini makubaliano ambapo Chuo hicho kimelipatia Jeshi la Polisi eneo la ekari mbili katika Kampasi ya Mloganzila kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Polisi.Makubalino hayo yalisainiwa Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam.
Kaimu Kamishna wa Fedha na Lojistiki, DCP Leonard Paul na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili Prof. Andrea Pembe wakibadilishana nyaraka baada ya kusaini makubaliano ambapo Chuo hicho kimelipatia Jeshi la Polisi eneo la ekari mbili katika Kampasi ya Mloganzila kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Polisi.Makubalino hayo yalisainiwa Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam.
Kaimu Kamishna wa Fedha na Lojistiki, DCP Leonard Paul na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili Prof. Andrea Pembe wakionyesha nyaraka baada ya kusaini makubaliano ambapo Chuo hicho kimelipatia Jeshi la Polisi eneo la ekari mbili katika Kampasi ya Mloganzila kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Polisi.Makubalino hayo yalisainiwa Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam.
Maofisa kutoka Makao Makuu ya Polisi na viongozi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kusaini makubaliano ambapo Chuo hicho kimelipatia Jeshi la Polisi eneo la ekari mbili katika Kampasi ya Mloganzila kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Polisi.Makubalino hayo yalisainiwa Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam.
Kaimu Kamishna wa Fedha na Lojistiki, DCP Leonard Paul na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi Muhimbili Prof. Andrea Pembe wakizungumza baada ya kusaini makubaliano ambapo Chuo hicho kimelipatia Jeshi la Polisi eneo la ekari mbili katika Kampasi ya Mloganzila kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Polisi.Makubalino hayo yalisainiwa Makao Makuu ya Polisi Dar es Salaam.(Picha na Jeshi la Polisi).


Hivyo makala MUHIMBILI WATOA KIWANJA CHA UJENZI WA KITUO CHA POLISI MLOGANZILA

yaani makala yote MUHIMBILI WATOA KIWANJA CHA UJENZI WA KITUO CHA POLISI MLOGANZILA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MUHIMBILI WATOA KIWANJA CHA UJENZI WA KITUO CHA POLISI MLOGANZILA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/muhimbili-watoa-kiwanja-cha-ujenzi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MUHIMBILI WATOA KIWANJA CHA UJENZI WA KITUO CHA POLISI MLOGANZILA"

Post a Comment