title : MSAFARA WA WAZIRI DK. KIGWANGALLA WAPATA AJARI MKOANI MANYARA
kiungo : MSAFARA WA WAZIRI DK. KIGWANGALLA WAPATA AJARI MKOANI MANYARA
MSAFARA WA WAZIRI DK. KIGWANGALLA WAPATA AJARI MKOANI MANYARA
Taarifa ambazo zimepatikana muda huu kutoka Magugu Babati mkoani Manyara zinaeleza kuwa gari la Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla wakitokea Arusha kwenda Dodoma wamepata ajali mbaya na inaelezwa kuwa mwandishi wake amepoteza maisha pale pale.
Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara Agustino Senga amesema kuwa Dr.Kigwangala aliejeruhiwa vibaya maeneo ya kifuani na dereva wake wamelazwa katika kituo cha Afya Magugu kwa matibabu.
Taarifa za awali kutoka kwa kamanda wa polisi Agustino Senga zinaeleza kuwa ajali hiyo imesababishwa na mnyama aliekuwa akivuka barabara eneo la Magugu
Hivyo makala MSAFARA WA WAZIRI DK. KIGWANGALLA WAPATA AJARI MKOANI MANYARA
yaani makala yote MSAFARA WA WAZIRI DK. KIGWANGALLA WAPATA AJARI MKOANI MANYARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MSAFARA WA WAZIRI DK. KIGWANGALLA WAPATA AJARI MKOANI MANYARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/msafara-wa-waziri-dk-kigwangalla-wapata.html
0 Response to "MSAFARA WA WAZIRI DK. KIGWANGALLA WAPATA AJARI MKOANI MANYARA"
Post a Comment