title : BREAKING: Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Hamisi Kigwangwallah apata ajali
kiungo : BREAKING: Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Hamisi Kigwangwallah apata ajali
BREAKING: Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Hamisi Kigwangwallah apata ajali
Taarifa zilizopatikana muda huu zinasema Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Hamisi Kigwangwallah amepata ajali asubuhi hii akitokea Arusha katika eneo la msitu kabla ya kijiji cha Magugu.
Kwa mujibu wa mbunge wa Mbulu vijijini Mhe. Flatei Massay mtu moja ambaye ni Afisa Habari wa wizara Hamza Temba amepoteza maisha.
Inasemekana chanzo cha ajali hiyo ni Twiga aliyekuwa anakatisha barabara mbele yao na katika kumkwepa gari likapinduka.
Taarifa zinapasha kuwa Dkt. Kigwangwala amepata majeraha na kukimbizwa katika kituo cha afya cha Magugu kupatiwa matibabu na kwa mujibu wa mleta habari, hali sio nzuri sana.
Hivi sasa inasubiriwa helikopta ije kumchukua kumpeleka hospitali kubwa.
Hivyo makala BREAKING: Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Hamisi Kigwangwallah apata ajali
yaani makala yote BREAKING: Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Hamisi Kigwangwallah apata ajali Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING: Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Hamisi Kigwangwallah apata ajali mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/breaking-waziri-wa-maliasili-na-utalii.html
0 Response to "BREAKING: Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Hamisi Kigwangwallah apata ajali"
Post a Comment