MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO ZAINABU KAWAWA AFUNGUA RASMI WA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KWA VIJANA 183

MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO ZAINABU KAWAWA AFUNGUA RASMI WA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KWA VIJANA 183 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO ZAINABU KAWAWA AFUNGUA RASMI WA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KWA VIJANA 183, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO ZAINABU KAWAWA AFUNGUA RASMI WA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KWA VIJANA 183
kiungo : MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO ZAINABU KAWAWA AFUNGUA RASMI WA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KWA VIJANA 183

soma pia


MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO ZAINABU KAWAWA AFUNGUA RASMI WA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KWA VIJANA 183

MKUU wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Zainabu Kawawa amewataka vijana ambao wanahitimu mafunzo ya jeshi la akiba kuhakikisha wanakuwa wazalendo na nchi yao na kuachana kabisa na vitendo vya kujiingiza katika matukio ya kihalifu na badala yake wahakikishe wanazingatia sheria na taratibu zote zilizowekwa kwa lengo la kuweza kulinda hali ya ulinzi na usalama wa wananchi na mali zao. 
 Kauli hiyo ameitoa wakati wa sherehe za ufunguzi rasmi wa mafunzo ya awali ya jeshi la akiba ambayo yamefanyika katika kata ya Bwilingu na kuwajumusiha vipana wapatao 183 kutoka katika halmashauri ya Chalinze Wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani. 
 Mkuu huyo pia amewahimiza vijana hao kuhakikisha wanakuwa na nidhamu ya hali ya juu katika kipindi chote cha mafunzo hayo ya kijeshi na kuzingatia maelekezo ambayo wanapatiwa na walimu wao kwa lengo la kuweza kujifunza mbinu mbali mbali ambazo zitaweza kuwa ni mkombozi mkubwa katika kulilinda Taifa la Tanzania na kuweza kukabiliana na wimbi la matukio ya uhalifu.



Hivyo makala MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO ZAINABU KAWAWA AFUNGUA RASMI WA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KWA VIJANA 183

yaani makala yote MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO ZAINABU KAWAWA AFUNGUA RASMI WA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KWA VIJANA 183 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO ZAINABU KAWAWA AFUNGUA RASMI WA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KWA VIJANA 183 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mkuu-wa-wilaya-ya-bagamoyo-zainabu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO ZAINABU KAWAWA AFUNGUA RASMI WA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA KWA VIJANA 183"

Post a Comment