title : Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Afanya Uteuzi wa Masheha
kiungo : Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Afanya Uteuzi wa Masheha
Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Afanya Uteuzi wa Masheha
Mkuu wa Mkoa wa
Kusini Pemba Mh.
Hemed Suleiman
Abdulla amefanya
uteuzi wa Masheha
saba katika shehia
mbalimbali za Wilaya
ya Mkoani na Chake
Chake.
Mkuu huyo wa Mkoa
amefanya uteuzi huo
kwa mujibu wa
kifungu cha 8(10) cha Sheria Namba 8 ya mwaka 2014,
Sheria ya Tawala za Mikoa Zanzibar.
Katika Wilaya ya Chake Chake walioteuliwa ni Haji
Mohammed Ali wa Shehia ya Wesha, Khamis Suleiman Ali
wa Shehia ya Kwale na Abrahman Shehe Moh’d wa Shehia ya
Chachani.
Katika Wilaya ya Mkoani walioteuliwa ni Simai Faki Simai
wa Shehia ya Mkungu na Sheria Makame Haji wa Shehia ya
Makombeni.
Wengine ni Omar Bakar Omar wa Shehia ya Kukuu na
Afadhali Juma Afadhali wa Shehia ya Kangani.
Uteuzi huo umeanza leo Agost 7.
IMETOLEWA NA MAELEZO ZANZIBAR 07.08.2018
Hivyo makala Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Afanya Uteuzi wa Masheha
yaani makala yote Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Afanya Uteuzi wa Masheha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Afanya Uteuzi wa Masheha mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mkuu-wa-mkoa-kusini-pemba-mhe-hemed.html
0 Response to "Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Afanya Uteuzi wa Masheha"
Post a Comment