MKAZI WA MBAGALA AJISHINDIA GARI AINA YA RENAULT KWID, NI GARI LA TANO KATIKA PROMOSHENI YA KUSHEREHEKEA MIAKA 10 YA M-PESA

MKAZI WA MBAGALA AJISHINDIA GARI AINA YA RENAULT KWID, NI GARI LA TANO KATIKA PROMOSHENI YA KUSHEREHEKEA MIAKA 10 YA M-PESA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKAZI WA MBAGALA AJISHINDIA GARI AINA YA RENAULT KWID, NI GARI LA TANO KATIKA PROMOSHENI YA KUSHEREHEKEA MIAKA 10 YA M-PESA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKAZI WA MBAGALA AJISHINDIA GARI AINA YA RENAULT KWID, NI GARI LA TANO KATIKA PROMOSHENI YA KUSHEREHEKEA MIAKA 10 YA M-PESA
kiungo : MKAZI WA MBAGALA AJISHINDIA GARI AINA YA RENAULT KWID, NI GARI LA TANO KATIKA PROMOSHENI YA KUSHEREHEKEA MIAKA 10 YA M-PESA

soma pia


MKAZI WA MBAGALA AJISHINDIA GARI AINA YA RENAULT KWID, NI GARI LA TANO KATIKA PROMOSHENI YA KUSHEREHEKEA MIAKA 10 YA M-PESA

Mshindi wa gari la tano  aina ya Renault Kwid  katika promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani (kushoto) Mkazi wa Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam, akionyesha funguo za gari pamoja na kadi ya gari hilo mara baada ya kukabidhiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi wakati wa hafla ya kumkabidhi iliyofanyika katika Viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es alaam. Yamebakia magari matano ili kushinda mteja wa Vodacom anatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi (wa pili kushoto) akimpongeza mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani wakati wa hafla ya kumkabidhi  gari lake iliyofanyika katika Viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam. Yamebakia magari matano ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu. Kushoto ni Mkuu wa kitengo cha maendeleo ya Biashara wa M-Pesa, Polycarp Ndekana na Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa kampuni hiyo Jacquiline Materu.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi (kulia) akimwelekeza namna ya kufungua mlango wa gari  mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  la promosheni ya miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani mara baada ya kumkabidhi wakati wa hafla iliyofanyika katika viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam.  Yamebakia magari matano ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi (kulia) akimshuhudia,  mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa Salum Chande Athumani, akifungua mlango wa gari mara baada ya kumkabidhi wakati wa hafla  iliyofanyika katika viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam. 
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi (kulia) akimuonyesha ufunguo  mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani wakati wa hafla ya kumkabidhi gari lake iliyofanyika katika viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam. 
Mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  katika promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa,Salum Chande  mkazi wa Mbagala Rangi Tatu (aliyekaa ndani ya gari)  akishuhudiwa na mama yake mzazi  wa pili kushoto wakati akipongezwa na  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi wakati wa hafla ya kumkabidhi iliyofanyika katika Viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es alaam.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi (kulia) akishuhudia familia ya  mshindi wa gari la tano   aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani akiwa amebebwa juu kwa furaha ya ushindi  wakati wa hafla  ya kumkabidhi gari lake iliyofanyika katika viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam. 
 Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Plc, Jacquiline Materu akiongea wakati wa hafla ya kumkabidhi gari aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa mkazi wa Mbagala Rangi Tatu, Salum Chande Athumani, iliyofanyika katika Viwanja vya Zakhiem Mbagala jijini Dar es Salaam, wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi. Kushoto ni Mkuu wa kitengo cha maendeleo ya Biashara wa M-Pesa, Polycarp Ndekana pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo.

KUSOMA ZAISI BOFYA HAPA


Hivyo makala MKAZI WA MBAGALA AJISHINDIA GARI AINA YA RENAULT KWID, NI GARI LA TANO KATIKA PROMOSHENI YA KUSHEREHEKEA MIAKA 10 YA M-PESA

yaani makala yote MKAZI WA MBAGALA AJISHINDIA GARI AINA YA RENAULT KWID, NI GARI LA TANO KATIKA PROMOSHENI YA KUSHEREHEKEA MIAKA 10 YA M-PESA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKAZI WA MBAGALA AJISHINDIA GARI AINA YA RENAULT KWID, NI GARI LA TANO KATIKA PROMOSHENI YA KUSHEREHEKEA MIAKA 10 YA M-PESA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mkazi-wa-mbagala-ajishindia-gari-aina.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKAZI WA MBAGALA AJISHINDIA GARI AINA YA RENAULT KWID, NI GARI LA TANO KATIKA PROMOSHENI YA KUSHEREHEKEA MIAKA 10 YA M-PESA"

Post a Comment