MCHENGA BBALL STARS KUTETEA UBINGWA WAKE JUMAMOSI

MCHENGA BBALL STARS KUTETEA UBINGWA WAKE JUMAMOSI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MCHENGA BBALL STARS KUTETEA UBINGWA WAKE JUMAMOSI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MCHENGA BBALL STARS KUTETEA UBINGWA WAKE JUMAMOSI
kiungo : MCHENGA BBALL STARS KUTETEA UBINGWA WAKE JUMAMOSI

soma pia


MCHENGA BBALL STARS KUTETEA UBINGWA WAKE JUMAMOSI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
MABINGWA watetezi wa michuano ya Kikapu ya Sprite Bball Kings Mchenga Bball Stars wameendelea kujiweka vizuri kwenye mbio za kutetea ubingwa wao walioutwaa mwaka 2017 baada ya kushinda game 2 kwa pointi 85 dhidi ya 65 za Flying Dribblers.

Matokeo hayo sasa yamewafanya Mchenga Bball Stars kushinda game mbili mfululizo kwenye 'best of five' ya fainali ya Sprite Bball Kings baada ya Mabingwa watetezi wa michuano ya Kikapu ya Sprite Bball Kings Mchenga Bball Stars wameendelea kujiweka vizuri kwenye mbio za kutetea ubingwa wao walioutwaa mwaka 2017 baada ya kushinda game 2 kwa pointi 85 dhidi ya 65 za Flying Dribblers.


Katika mchezo uliochezwa jana uliopigwa kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay mchezaji Baraka Sadick wa Mchenga ameendelea kuwa moto wa kuotea mbali baada ya kuongoza kwa pointi katika game 1 na leo kufanya hivyo tena akifunga pointi 28 kati ya 85 za Mchenga Bball Stars. 

Pia amechukua rebound 9 na kutoa Assist 5. Kwa upande wa Flying Dribblers mchezaji Steve Mtemihonda, amefunga pointi 19 na kuchukua rebound 6 pamoja na kutoa Assist 2.  

Game 3 ya 'best of five' itapigwa Jumamosi Agosti 25, kwenye uwanja wa ndani wa taifa, ambapo kama Mchenga watashinda watatetea ubingwa wao rasmi lakini kama Flying Dribblers watasawazisha basi itasubiriwa game 4.

Michuano ya Sprite BBall Kings inayodhaminiwa na kinywaji cha Sprite na Kituo cha East Africa Radio na Tv yameweza kusaidia kuinua vipaji kwa vijana na kurejesha heshima ya mchezo wa mpira wa kikapu na mshindi wa michuano hiyo atajinyakulia kitita cha Shilingi Milioni Kumi na kikombe, mshindi wa pili atapata milioni 3 huku mchezaji bora wa mashindano (MVP) atapata milioni 2.


Hivyo makala MCHENGA BBALL STARS KUTETEA UBINGWA WAKE JUMAMOSI

yaani makala yote MCHENGA BBALL STARS KUTETEA UBINGWA WAKE JUMAMOSI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MCHENGA BBALL STARS KUTETEA UBINGWA WAKE JUMAMOSI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mchenga-bball-stars-kutetea-ubingwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MCHENGA BBALL STARS KUTETEA UBINGWA WAKE JUMAMOSI"

Post a Comment