MBIO ZA MWENGE ZAFUNGUA OFISI ZA TANESCO WILAYA YA BAHI MKOANI DODOMA

MBIO ZA MWENGE ZAFUNGUA OFISI ZA TANESCO WILAYA YA BAHI MKOANI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBIO ZA MWENGE ZAFUNGUA OFISI ZA TANESCO WILAYA YA BAHI MKOANI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBIO ZA MWENGE ZAFUNGUA OFISI ZA TANESCO WILAYA YA BAHI MKOANI DODOMA
kiungo : MBIO ZA MWENGE ZAFUNGUA OFISI ZA TANESCO WILAYA YA BAHI MKOANI DODOMA

soma pia


MBIO ZA MWENGE ZAFUNGUA OFISI ZA TANESCO WILAYA YA BAHI MKOANI DODOMA

KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa Mhandisi Charles Francis Kabeho amefungua Jengo la Ofisi za Shirika la Umeme nchini (Tanesco) wilayani Bahi mkoani Dodoma ikiwa ni mpango wao wa kusogeza huduma karibu na wananchi waliopo maeneo mbalimbali hapa nchini. 

Akizungumza mara baada ya kufungua Jengo hilo Mhandisi Kabeho amepongeza juhudi zinazofanywa na shirika hilo katika kuhakikisha ofisi zao zipo kwenye mazingira mazuri ya wafanyakazi kuweza kuwahudumia wananchi kwa ufanisi wakati wanapokuwa wakifika kwenye maeneo yao kupata huduma .Alisema hatua ya wao kupanua wigo mpana wa kuwafikia wananchi itawawezesha kuondokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kuzifuata kwa umbali mrefu hivyo jambo hilo linahitaji kupongezwa kutokana na kuona umuhimu wa kuwafikia 

“Nimependezwa na jitihada za TANESCO katika kuhakikisha wateja wanafiki wa na huduma za Umeme kwa ukaribu zaidi, nakuhudumiwa katika mazingira mazuri, hivyo niwapongeze TANESCO kwa hili lakini pia nisistize kuwa ofisi hizi ziweze kuhudumia wateja hao kwa weledi”alisemaMhandisi Kabeho .Naye Mkuuwa Wilaya ya Bahi Mwanahamisi Mkunda amemshukuru Mkuuwa Mbioza Mwenge kwa kuweza kufungua jingo hilo na kuwa hakikishia wananchi wa Bahi kuwa Huduma ya umeme sasa ipo karibu na kuwa wilaya ya Bahi sasa inauhakika wakupata hudumaza Umeme masaa 24, 

Kwa upande wake Meneja wa TANESCO wilaya ya Bahi, Mhandisi Bryceson Kitila amesema kuwaUjenzi wa jengo la Ofisi ya Bahi umetekelezwa naShirika la Umeme Tanzania kwa madhumuni ya kuongeza Ufanisi wakazi katika mji wa Bahi na vijiji vya Jirani,pia kuwezesha wananchi wa Bahi kupata Huduma Bora nayaUhakika kwa kuwa na kituo cha huduma kwa wateja(one stop shop center) hivyo mteja anaweza kupata huduma zote katika dawati moja ikiwemo na manunuzi ya umeme (LUKU). 

Mbio hizi za Mwenge wa Uhuru, zimehitimishwa katika mkoawa Dodoma ambapo zimehusishau funguaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo ikiwemo Jengo la TANESCO.
 MKUU wa wilaya ya Bahi Mwanahamisi Mkunda akitoa shukrani kwa KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa Mhandisi Charles Francis Kabeho kushoto mara baada ya uzinduzi wa Jengo la Tanesco wilaya ya Bahi 
 MKUU wa wilaya ya Bahi Mwanahamisi Mkunda kulia akiwa na KIONGOZI wa Mbio za Mwenge Kitaifa Mhandisi Charles Francis Kabeho kushoto mara baada ya uzinduzi wa Jengo la Tanesco wilaya ya Bahi 


Hivyo makala MBIO ZA MWENGE ZAFUNGUA OFISI ZA TANESCO WILAYA YA BAHI MKOANI DODOMA

yaani makala yote MBIO ZA MWENGE ZAFUNGUA OFISI ZA TANESCO WILAYA YA BAHI MKOANI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBIO ZA MWENGE ZAFUNGUA OFISI ZA TANESCO WILAYA YA BAHI MKOANI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mbio-za-mwenge-zafungua-ofisi-za.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MBIO ZA MWENGE ZAFUNGUA OFISI ZA TANESCO WILAYA YA BAHI MKOANI DODOMA"

Post a Comment