MAVUNDE AMTOA MACHOZI YA FURAHA KIJANA MWENYE ULEMAVU MWANACHUO WA UDOM

MAVUNDE AMTOA MACHOZI YA FURAHA KIJANA MWENYE ULEMAVU MWANACHUO WA UDOM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAVUNDE AMTOA MACHOZI YA FURAHA KIJANA MWENYE ULEMAVU MWANACHUO WA UDOM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAVUNDE AMTOA MACHOZI YA FURAHA KIJANA MWENYE ULEMAVU MWANACHUO WA UDOM
kiungo : MAVUNDE AMTOA MACHOZI YA FURAHA KIJANA MWENYE ULEMAVU MWANACHUO WA UDOM

soma pia


MAVUNDE AMTOA MACHOZI YA FURAHA KIJANA MWENYE ULEMAVU MWANACHUO WA UDOM

Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde leo ametimiza ahadi ya kumpatia Kijana Dominic Oscar Mbele Mwanachuo wa Chuo kikuu cha Dodoma pikipiki ya matairi matatu (bajaj) ili kumsaidia kuyafikia maeneo mbalimbali kwa haraka na kwa urahisi.

Bajaj hiyo imekabidhiwa leo na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Wenye Ulemavu) Mh Stella Ikupa ambaye amemshukuru Mh Mavunde na wote waliochangia kwa moyo wao wote na kutoa rai kwa jamii kusaidia watu wenye ulemavu badala ya kuliachia jukumu hilo serikali na viongozi peke yako.

Akishukuru baada ya kukabidhiwa Bajaj hiyo Ndg Dominic Mbele ambaye ni Mwanachuo wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) anayesomea Shahada ya Kwanza ya masuala ya Kompyuta amemshukuru sana Mh Mavunde na wote waliomchangia kwa moyo wa kipekee wa kumsaidia kupata usafiri huo na kuahidi kuwaombea kwa Mungu ili Mungu awazidishie.
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde akimkabidhi kijana Dominic Oscar Mbele ambaye ni Mwanachuo wa Chuo kikuu cha Dodoma pikipiki ya matairi matatu (bajaj) ili imsaidie kuyafikia maeneo mbalimbali kwa haraka na kwa urahisi.
kijana Dominic Oscar Mbele ambaye ni Mwanachuo wa Chuo kikuu cha Dodoma akimshukuru Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde kwa kumpatia pikipiki ya matairi matatu (bajaj) ili imsaidie kuyafikia maeneo mbalimbali kwa haraka na kwa urahisi.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Wenye Ulemavu) Mh Stella Ikupa akimpa mkono wa pongezi kijana Dominic Oscar Mbele ambaye ni Mwanachuo wa Chuo kikuu cha Dodoma kwa kufanikiwa kuipata baiskeli hiyo (bajaj) ,iliyotolewa na Mh Mavunde.Aidha Mh Ikupa  rai kwa jamii kusaidia watu wenye ulemavu badala ya kuliachia jukumu hilo serikali na viongozi peke yako.


Hivyo makala MAVUNDE AMTOA MACHOZI YA FURAHA KIJANA MWENYE ULEMAVU MWANACHUO WA UDOM

yaani makala yote MAVUNDE AMTOA MACHOZI YA FURAHA KIJANA MWENYE ULEMAVU MWANACHUO WA UDOM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAVUNDE AMTOA MACHOZI YA FURAHA KIJANA MWENYE ULEMAVU MWANACHUO WA UDOM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mavunde-amtoa-machozi-ya-furaha-kijana.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAVUNDE AMTOA MACHOZI YA FURAHA KIJANA MWENYE ULEMAVU MWANACHUO WA UDOM"

Post a Comment