Mapokezi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Baada ya Kumaliza Ziara Yake Nchini Indonesia.

Mapokezi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Baada ya Kumaliza Ziara Yake Nchini Indonesia. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mapokezi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Baada ya Kumaliza Ziara Yake Nchini Indonesia., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mapokezi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Baada ya Kumaliza Ziara Yake Nchini Indonesia.
kiungo : Mapokezi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Baada ya Kumaliza Ziara Yake Nchini Indonesia.

soma pia


Mapokezi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Baada ya Kumaliza Ziara Yake Nchini Indonesia.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, walipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Indonesia baada ya kumaliza ziara yake ya wiki moja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akivishwa shada la maua na Mtoto aliyeandaliwa wakatika wa hafla ya mapokezi yake katikia Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Wazee wa CCM baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akitokea ziarani na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya Zanzibar baada ya kuwasili Zanzibar baada ya kumaliza ziara yake ya wiki moja Nchini Indonesia
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wananchi waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea ziarani Nchini Indonesia
NAIBU Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Dkt. Juma Mohammed akiongoza mahojiano ya Waandishi wa Habari Zanzibar wakati wa mazungumzo yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, baada ya kuwasili Zanzibar akitokea Nchini Indonesia baada ya kumaliza ziara yake ya wiki moja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya Serikali na Binafsi, katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kulia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya Serikali na Binafsi, katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kulia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe. Balozi Amina Salum Ali, Mshauri wa Rais Mambo ya Nje Mhe.Balozi Moha mmed Ramia na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.
Waandishi wa habari wakifuatlia mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na ziara yake Nchini Indonesia.



Hivyo makala Mapokezi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Baada ya Kumaliza Ziara Yake Nchini Indonesia.

yaani makala yote Mapokezi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Baada ya Kumaliza Ziara Yake Nchini Indonesia. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mapokezi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Baada ya Kumaliza Ziara Yake Nchini Indonesia. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mapokezi-wa-rais-wa-zanzibar-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mapokezi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Baada ya Kumaliza Ziara Yake Nchini Indonesia."

Post a Comment