Manispaa ya Ilala yatoa ushauri nasaha bure nanenane Morogoro

Manispaa ya Ilala yatoa ushauri nasaha bure nanenane Morogoro - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Manispaa ya Ilala yatoa ushauri nasaha bure nanenane Morogoro, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Manispaa ya Ilala yatoa ushauri nasaha bure nanenane Morogoro
kiungo : Manispaa ya Ilala yatoa ushauri nasaha bure nanenane Morogoro

soma pia


Manispaa ya Ilala yatoa ushauri nasaha bure nanenane Morogoro





Wakulima wa KIPUNGUNI wakiwa shamba banda la nanenane Morogoro Leo (Picha na Heri Shaban)
Na Heri Shaban,Morogoro



MANISPAA ya Ilala imewaomba wananchi wa Manispaa ya morogoro na mikoa Jirani  kufika katika banda la manispaa ya Ilala kwa ajili ya kupatiwa huduma za ushauri nasaha na huduma ya kwanza bure.

Hayo yalisemwa Mkoani Morogoro Jana na Muuguzi Kiongozi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja  Johari Yusuph, ambaye anatoa huduma ya ushauri nasaha, huduma ya kwanza
bure katika banda la Ilala morogoro.

"Tumeshiriki wiki ya maonyesho ya Wakulima nanenane katika banda letu la Manispaa Ilala kila mwaka tumeweka taratibu wa kutoa huduma ya kwanza,kupima Vvu, Kisukari, ushauri nasaha bure hivyo tunawaomba wananchi wafike katika letu,kwa ajili ya kuangalia afya Zao.

Johari aliwata wananchi kujenga taratibu wa kuangalia afya zao kila wakati katika vituo vya afya Serikali kinga ni bora kuliko tiba.

 Kwa upande wake Mkuu wa Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika Estar Msome, amewataka wananchi kufika katika banda la Manispaa ya Ilala kujifunza kilimo cha kisasa,kilimo cha Magorofani, kilimo cha uwiano.

Masome alisema katika manispaa hiyo ukifika utajifunza njia mbalimbali za Kilimo ikiwemo utunzaji wa mazao baada ya mavuno.


Pia Manispaa hiyo utajifunza usindikaji mazao mbalimbali  ,kilimo cha uyoga na uchakataji maji taka.

Kwa upande wake Dkt. wa Mifugo manispaa hiyo, Jawb Mwasha alisema kwa Maendeleo ya ufugaji Tanzania ni muhimu kwa wafugaji kutambua muda gani hasa ng'ombe alianza kunyonyesha dalili za joto ili kumwezesha mtaalam kupanga mda mzuri.

Mwasha alisema ili kulinda mifugo yako kutokana na magonjwa ya kizazi yanayosambazwa na madume baaadhi usababisha ugumba na utupaji wa mimba.

Alisema baadhi ya magonjwa ya mifugo ya ng'ombe yanayosambazwa na ng'ombe dume usababisha magonjwa kwa binadamu.


Hivyo makala Manispaa ya Ilala yatoa ushauri nasaha bure nanenane Morogoro

yaani makala yote Manispaa ya Ilala yatoa ushauri nasaha bure nanenane Morogoro Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Manispaa ya Ilala yatoa ushauri nasaha bure nanenane Morogoro mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/manispaa-ya-ilala-yatoa-ushauri-nasaha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Manispaa ya Ilala yatoa ushauri nasaha bure nanenane Morogoro"

Post a Comment