title : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Amtembelea Waziri wa Malisili na Utalii wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Khamis Kigwangala na Msanii wa Mkongwe Mzee Majuto Waliolazwa Hospitali ya Rufaa Muhuimbili Jijini Dar es salaam.
kiungo : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Amtembelea Waziri wa Malisili na Utalii wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Khamis Kigwangala na Msanii wa Mkongwe Mzee Majuto Waliolazwa Hospitali ya Rufaa Muhuimbili Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Amtembelea Waziri wa Malisili na Utalii wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Khamis Kigwangala na Msanii wa Mkongwe Mzee Majuto Waliolazwa Hospitali ya Rufaa Muhuimbili Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimjulia Hali Waziri wa Malisili na Utalii wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Khamis Kigwangala aliyelazwa Hospitali ya Rufaa Muhuimbili Jijini Dar es salaam.Dr. Kigwangala amelazwa Hospitali kufuatia kupata ajali akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Arusha akielekea Mkoani Dodoma.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanziubar Balozi Seif Ali Iddi akimfariji Msanii Mkongwe Nchini Tanzania Mzee Majuto { Maarufu King Majuto} aliyelazwa Wadi wa Sewahaji Hositali ya Rufaa Muhimbili Jijini Dar es salaam.Balozi Seif aliwatakia kwa Mwenyezi Mungu Mola wa Viumbe vyote kupona haraka kwa wagonjwa wote wawili ili warejee katika majukumu yao ya kila siku ya kujenga Taifa.
Picha Na – OMPR – ZNZ.
Hivyo makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Amtembelea Waziri wa Malisili na Utalii wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Khamis Kigwangala na Msanii wa Mkongwe Mzee Majuto Waliolazwa Hospitali ya Rufaa Muhuimbili Jijini Dar es salaam.
yaani makala yote Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Amtembelea Waziri wa Malisili na Utalii wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Khamis Kigwangala na Msanii wa Mkongwe Mzee Majuto Waliolazwa Hospitali ya Rufaa Muhuimbili Jijini Dar es salaam. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Amtembelea Waziri wa Malisili na Utalii wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Khamis Kigwangala na Msanii wa Mkongwe Mzee Majuto Waliolazwa Hospitali ya Rufaa Muhuimbili Jijini Dar es salaam. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/makamu-wa-pili-wa-rais-wa-zanzibar.html
0 Response to "Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Amtembelea Waziri wa Malisili na Utalii wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Khamis Kigwangala na Msanii wa Mkongwe Mzee Majuto Waliolazwa Hospitali ya Rufaa Muhuimbili Jijini Dar es salaam."
Post a Comment