Kongamano la Kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Kufanyika Augusti 31, 2018 Jijini Dar es Salaam.

Kongamano la Kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Kufanyika Augusti 31, 2018 Jijini Dar es Salaam. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kongamano la Kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Kufanyika Augusti 31, 2018 Jijini Dar es Salaam., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kongamano la Kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Kufanyika Augusti 31, 2018 Jijini Dar es Salaam.
kiungo : Kongamano la Kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Kufanyika Augusti 31, 2018 Jijini Dar es Salaam.

soma pia


Kongamano la Kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Kufanyika Augusti 31, 2018 Jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Nuru ya Taifa Tanzania, Gadiell Joseph, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, kuhusu kongamano la kumpongeza Rais Dk.John Pombe Magufuli kutokana na utendaji wake kazi mzuri katika kuliongoza Taifa la Tanzania.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Nuru ya Taifa Tanzania, Gadiell Joseph, akisisitiza jambo kwenye mkutano huo wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari.
Mkutano na wanahabari ukiendelea.

Na Dotto Mwaibale
KONGAMANO la kumpongeza Rais Dk.John Pombe Magufuli kutokana na utendaji kazi wake mzuri linatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam juzi, Mwenyekiti wa Taasisi ya Nuru ya Taifa Tanzania, Gadiell Joseph alisema awali kongamano hilo lilikuwa lifanyike Agosti 25, 2018 lakini wakalazimika kuliahirisha kutokana na Rais Magufuli kufiwa na dada yake.

"Kongamano hilo lililkuwa lifanyike Agosti 25, 2018 lakini kutokana na msiba huo mkubwa tumelazimika kulisogeza mbele hadi tarehe 31" alisema Joseph.

Joseph alisema kongamano hilo litafanyika ukumbi wa Karimjee kuanzia saa tatu asubuhi.

Alitaja baadhi ya mambo makubwa ambayo yamefanywa na Rais Magufuli kwa kipindi kifupi ambacho amekaa madarakani kuwa ni kupambana na ufisadi, ujenzi wa barabara za juu, kutoa elimu bure, huduma za afya, ununuzi wa ndege na kuboresha miradi mbalimbali.

Kongamano hilo limeandaliwa na Taasisi ya Nuru ya Taifa Tanzania.


Hivyo makala Kongamano la Kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Kufanyika Augusti 31, 2018 Jijini Dar es Salaam.

yaani makala yote Kongamano la Kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Kufanyika Augusti 31, 2018 Jijini Dar es Salaam. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kongamano la Kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Kufanyika Augusti 31, 2018 Jijini Dar es Salaam. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/kongamano-la-kumpongeza-rais-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kongamano la Kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli Kufanyika Augusti 31, 2018 Jijini Dar es Salaam."

Post a Comment