KINONDONI YAKABIDHIWA KISIMA CHA MAJI CHENYE THAMANI YA MAMILIONI YA SHILINGI

KINONDONI YAKABIDHIWA KISIMA CHA MAJI CHENYE THAMANI YA MAMILIONI YA SHILINGI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KINONDONI YAKABIDHIWA KISIMA CHA MAJI CHENYE THAMANI YA MAMILIONI YA SHILINGI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KINONDONI YAKABIDHIWA KISIMA CHA MAJI CHENYE THAMANI YA MAMILIONI YA SHILINGI
kiungo : KINONDONI YAKABIDHIWA KISIMA CHA MAJI CHENYE THAMANI YA MAMILIONI YA SHILINGI

soma pia


KINONDONI YAKABIDHIWA KISIMA CHA MAJI CHENYE THAMANI YA MAMILIONI YA SHILINGI

Mwambawahabari 

Kisima hicho kilichojengwa kwa ufadhili wa Asasi ya Kiraia ya TIME TO HELP, chenye ukubwa wa mita 104, kimekabidhiwa leo kwa Shule ya Sekondari Boko na Shule ya msingi Boko National Housing zilizopo Kata ya Bunju, Mtaa wa Dovya Manispaa ya Kinondoni.
Akipokea kisima hicho kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Katibu tawala wa Wilaya hiyo,  Bi.Stella Msofe amesema,  ujenzi wa kisima hicho ni kielelezo tosha cha Asasi ya Kiraia ya Time to help kinachoonesha  dhamira ya dhati  ya kuunga mkono jitihada za   Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania chini Rais Dr.John Pombe Joseph Magufuli, ya   kuboresha  miundombinu ya elimu na maji Mashuleni.
"Tunaishukuru sana TIME TO HELP, mlichokifanya mmerudisha nuru kwenye nyuso zilizofubaa, mmedhihirisha uzalendo mlionao kwa Taifa hili, lakini pia mmerudisha uhai kwa wanafunzi hawa kwa kutujengea kisima cha ukubwa wa mita 104, kitakachoziwezesha shule hizi mbili kupata maji."Amesema Katibu Tawala.
Aidha Bi.Msofe amewataka waalimu na wanafunzi wa shule hizo mbili kuhakikisha wanakitunza, wanakilinda, na kukithamini kisima hicho kwa matumizi yaliyokusudiwa.
Akisoma taarifa ya shule kwa mgeni rasmi,  Mkuu wa Shule ya Sekondari Boko  Bi Rosalia Chelesi amesema, Shule inajumla ya wanafunzi 1,015, kati yake wavulana ni 510, na wasichana ni 240, na  kwa upande wa  Shule ya Msingi Boko National Housing idadi ya wanafunzi ni 498, ambapo wavulana ni 258, na wasichana ni 240.
Bi.Chelesi pia ameainisha changamoto zilizopo shuleni hapo kuwa ni ubovu wa madarasa, upungufu wa madawati, ukosefu wa uzio, upungufu wa matundu ya vyoo, uharibifu wa barabara hasa kipindi cha mvua, upungufu wa nyumba za waalimu, pamoja na ukosefu wa umeme kwa shule ya Msingi Boko National Housing.
Imeandaliwa na
Kitengo cha Uhusiano na habari.
Manispaa ya Kinondoni.


Hivyo makala KINONDONI YAKABIDHIWA KISIMA CHA MAJI CHENYE THAMANI YA MAMILIONI YA SHILINGI

yaani makala yote KINONDONI YAKABIDHIWA KISIMA CHA MAJI CHENYE THAMANI YA MAMILIONI YA SHILINGI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KINONDONI YAKABIDHIWA KISIMA CHA MAJI CHENYE THAMANI YA MAMILIONI YA SHILINGI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/kinondoni-yakabidhiwa-kisima-cha-maji.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KINONDONI YAKABIDHIWA KISIMA CHA MAJI CHENYE THAMANI YA MAMILIONI YA SHILINGI"

Post a Comment