Katibu Mkuu Hazina Akutana na Mameneja wa TRA Nchini Tanzania.

Katibu Mkuu Hazina Akutana na Mameneja wa TRA Nchini Tanzania. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Katibu Mkuu Hazina Akutana na Mameneja wa TRA Nchini Tanzania., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Katibu Mkuu Hazina Akutana na Mameneja wa TRA Nchini Tanzania.
kiungo : Katibu Mkuu Hazina Akutana na Mameneja wa TRA Nchini Tanzania.

soma pia


Katibu Mkuu Hazina Akutana na Mameneja wa TRA Nchini Tanzania.




Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James, akihutubia Bodi ya Wakurugenzi, Viongozi na Mameneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA kutoka Mikoa yote ya Tanzania Bara, kuhusu umuhimu wa kusimamia ipasavyo makusanyo ya kodi, katika kikao maalumu kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kilimanjaro wa Benki Kuu ya Tanzania, Jijini Dar es Salaam
Wajumbe wa Menejimenti wa Wizara ya Fedha na Mipango, wakiwa pamoja na Viongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA, kujadili namna ya kuhakikisha kuwa zaidi ya shilingi trilioni 18 kati ya shilingi trilioni 32.47 zilizopitishwa na Bunge kwa ajili ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2018/2019 zinazotakiwa kukusanywa na Mamlaka hiyo zinapatikana kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo.
Meza Kuu ikiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James (wa tatu kulia), wakati wa kikao maalumu kati ya Menejimenti ya Wizara ya Fedha na Mipango na Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti ya TRA na Mameneja wa Mamlaka hiyo kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara, waliokutana katika ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu, Jijini Dar es Salaam, kujadili pamoja na mambo mengine namna ya kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya Serikali. Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Susana Mkapa na Kaimu Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Adolf Ndunguru.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James, akisisitiza jambo kwa Bodi ya Wakurugenzi, Viongozi na Mameneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA kutoka Mikoa yote ya Tanzania Bara, kuhusu umuhimu wa kusimamia ipasavyo makusanyo ya kodi, katika kikao maalumu kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kilimanjaro wa Benki Kuu ya Tanzania, Jijini Dar es Salaam
(Picha na Benny Mwaipaja 0


Hivyo makala Katibu Mkuu Hazina Akutana na Mameneja wa TRA Nchini Tanzania.

yaani makala yote Katibu Mkuu Hazina Akutana na Mameneja wa TRA Nchini Tanzania. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Katibu Mkuu Hazina Akutana na Mameneja wa TRA Nchini Tanzania. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/katibu-mkuu-hazina-akutana-na-mameneja_3.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Katibu Mkuu Hazina Akutana na Mameneja wa TRA Nchini Tanzania."

Post a Comment