title : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA ATEMBELEA GEREZA LA KILIMO MANG'OLA, KARATU
kiungo : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA ATEMBELEA GEREZA LA KILIMO MANG'OLA, KARATU
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA ATEMBELEA GEREZA LA KILIMO MANG'OLA, KARATU
Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akiwasili katika Gereza la Kilimo Mang’ola, Wilayani Karatu Agosti 2, 2018 tayari kwa ziara yake ya kikazi yenye lengo la kukagua shughuli mbalimbali za uendeshaji wa Jeshi hilo.
Kaimu Mkuu wa Magereza Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi wa Magereza, Anderson Kamtiaro(wa tatu toka kulia) akimuonesha Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike(wa pili kushoto) ramani ya eneo linapojengwa Gereza la jipya la Mahabusu Wilayani Karatu.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akikagua tanuru la tofali za kuchoma katika eneo la Gereza la Kilimo Mang’ola. Tofali hizo za kuchoma hutumika kujenga nyumba za watumishi katika gereza hilo.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akizungumza na Askari wa Gereza Mang’ola(hawapo pichani) katika ziara yake ya kikazi.
Askari wa vyeo mbalimbali wa Gereza Mang’ola wakifuatilia kwa makini maelekezo ya Kamishna Jenerali wa Magereza.
Mkuu wa Gereza Mang’ola, Mrakibu wa Magereza, Masesa Magere(wa kwanza kushoto) akimuonesha Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike maeneo mbalimbali ya gereza hilo leo Agosti 2, 2018
Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Richard Kwitega(kulia) akiwa ameongezana na Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike(wa pili kushoto) katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa Arusha. Kamishna Jenerali Kasike amefika Ofisi za Mkuu wa Mkoa Arusha kabla ya kuanza ziara yake katika Gereza la Kilimo Mang’ola leo Agosti 2, 2018
(Picha zote na Kitengo cha Habari na
Mawasiliano Makao Makuu ya Jeshi la Magereza).
Hivyo makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA ATEMBELEA GEREZA LA KILIMO MANG'OLA, KARATU
yaani makala yote KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA ATEMBELEA GEREZA LA KILIMO MANG'OLA, KARATU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA ATEMBELEA GEREZA LA KILIMO MANG'OLA, KARATU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/kamishna-jenerali-wa-magereza-atembelea.html
0 Response to "KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA ATEMBELEA GEREZA LA KILIMO MANG'OLA, KARATU"
Post a Comment