Jumia yasisitiza kuuza bidhaa bora na halisi mtandaoni

Jumia yasisitiza kuuza bidhaa bora na halisi mtandaoni - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Jumia yasisitiza kuuza bidhaa bora na halisi mtandaoni, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Jumia yasisitiza kuuza bidhaa bora na halisi mtandaoni
kiungo : Jumia yasisitiza kuuza bidhaa bora na halisi mtandaoni

soma pia


Jumia yasisitiza kuuza bidhaa bora na halisi mtandaoni

 Katika kuwajengea Watanzania mazingira salama na rahisi ya kufanya manunuzi kwa njia ya mtandao, Jumia imesisitiza kuwa bidhaa zote zinazopatikana kwenye mtandao wake ni halisi na zenye bora wa hali ya juu kutoka kwa kampuni na wafanyabiashara wanaoaminika Tanzania na duniani kote.

Kwa watanzania wengi dhana ya kufanya manunuzi kwa njia ya mtandao bado ni ngeni na haijazoeleka. Miongoni mwa sababu zinazopelekea hali hiyo ni; uaminifu kwa sababu hakuna mawasiliano ya moja kwa moja baina ya muuzaji na mnunuzi, hofu ya wizi wa mitandaoni kutokana na upya wa huduma hii pamoja na changamoto ya maendeleo ya kiteknolojia ambayo watu wengi bado hawajafikiwa nayo.

Watanzania wengi wamezoea kwenda maduka moja kwa moja pale wanapohitaji kununua bidhaa kwa sababu hupata wasaa wa kuziona, kuzishika, kuzijaribisha, kufanya makubaliano ya bei ili kujiridhisha zaidi kabla ya kukata shauri la kununua.

Akizungumzia juu ya faida ambazo zimeletwa na mfumo wa manunuzi kwa njia ya mtandao kwa wafanyabiashara na wateja wa Kitanzania, Mkuu wa Masoko wa Jumia Tanzania, kampuni inayoongoza kwa huduma za manunuzi mtandaoni Afrika, Bw. Albany James amebainisha kuwa mfumo huu upo kwa ajili ya kuwarahisishia wateja huduma za kufanya manunuzi pamoja na kuongeza thamani kwa wafanyabiashara.


Hivyo makala Jumia yasisitiza kuuza bidhaa bora na halisi mtandaoni

yaani makala yote Jumia yasisitiza kuuza bidhaa bora na halisi mtandaoni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Jumia yasisitiza kuuza bidhaa bora na halisi mtandaoni mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/jumia-yasisitiza-kuuza-bidhaa-bora-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Jumia yasisitiza kuuza bidhaa bora na halisi mtandaoni"

Post a Comment