DKT. MWAKYEMBE AZITAKA KAMPUNI AZAM, DSTV KWENDA TCRA KUPEWA MUONGOZO.

DKT. MWAKYEMBE AZITAKA KAMPUNI AZAM, DSTV KWENDA TCRA KUPEWA MUONGOZO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. MWAKYEMBE AZITAKA KAMPUNI AZAM, DSTV KWENDA TCRA KUPEWA MUONGOZO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT. MWAKYEMBE AZITAKA KAMPUNI AZAM, DSTV KWENDA TCRA KUPEWA MUONGOZO.
kiungo : DKT. MWAKYEMBE AZITAKA KAMPUNI AZAM, DSTV KWENDA TCRA KUPEWA MUONGOZO.

soma pia


DKT. MWAKYEMBE AZITAKA KAMPUNI AZAM, DSTV KWENDA TCRA KUPEWA MUONGOZO.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, amezitaka kampuni za visimbuzi za DSTV, Azam na Zuku kwenda kwenda Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wapewe utaratibu wa kurusha chaneli za ndani za bure kama wamevutiwa na soko hilo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Dkt. Mwakyembe, amesema licha ya mikataba ya kampuni hizo kutoruhusha kurusha chaneli hizo lakini wamekuwa wakizirusha na kuwatoza wananchi gharama ili kuzipata.

“Kama hawa wenzetu wana hamu sana na soko hili la ndani wasitumie njia za chini chini waende TCRA wapewe utaratibu wa namna wa kuupata,” amesema Dkt. Mwakyembe.

Alizitaja baadhi ya chaneli ambazo zinapaswa kupatikana bure kupitia visimbuzi mbalimbali ni pamoja na TBC, Star TV, ITV, Channel Ten na EATV na kusisitiza kuwa TBC ni lazima irushwe na kila kisimbuzi bila malipo yoyote.

Dk. Mwakyembe amesema pamoja na ufafanuzi mzuri uliotolewa na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi ameamua kulitolea ufafanuzi jambo hilo ili kuondoa sintofahamu kwa wananchi.

“Naomba nianze kwa kutamka kwamba maelezo yote yaliyotolewa na Waziri Isack Kamwelwe yanawakilisha majibu ya wizara yangu,” amesema.

Dk. Mwakyembe pia amesisitiza kuwa serikali haijafuta leseni za visimbuzi vya Azam, Zuku na Multichoice Tanzania bali wanawataka kuondoa chaneli ambazo zinatakiwa kurushwa bure kulingana na matakwa ya mikataba yao.



Hivyo makala DKT. MWAKYEMBE AZITAKA KAMPUNI AZAM, DSTV KWENDA TCRA KUPEWA MUONGOZO.

yaani makala yote DKT. MWAKYEMBE AZITAKA KAMPUNI AZAM, DSTV KWENDA TCRA KUPEWA MUONGOZO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT. MWAKYEMBE AZITAKA KAMPUNI AZAM, DSTV KWENDA TCRA KUPEWA MUONGOZO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/dkt-mwakyembe-azitaka-kampuni-azam-dstv.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT. MWAKYEMBE AZITAKA KAMPUNI AZAM, DSTV KWENDA TCRA KUPEWA MUONGOZO."

Post a Comment