DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI NCHINI INDONESIA

DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI NCHINI INDONESIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI NCHINI INDONESIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI NCHINI INDONESIA
kiungo : DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI NCHINI INDONESIA

soma pia


DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI NCHINI INDONESIA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkurugenzi Mtendaji Risyanto Suanda wa  Kiwanda cha Uvuvi Perun Perikanan Nchini Indonesia akipotembelea Kiwanda hicho leo kuangalia maendeleo ya kazi zake katika kuzindika Samaki wa aina mbali mbali katika ziara ya Mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohammed Jusuf Kalla,(kushoto) Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malaysia pia akiiwakilisha Indinesia Mhe.Balozi Ramadhan Kitwana Dau
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na viongozi na baadhi ya watendaji katika   Kiwanda cha Samaki cha  Perun Perikanan Nchini Indonesia wakati alipofanya ziara ya kutembelea Kiwanda hicho pamoja na Ujumbe aliofutana nao katika ziara ya kikazi Nchini Indonesia kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mhe.Mohammed Jusuf Kalla
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa na Viongozi aliofuatana nao katika ziara ya kutembelea Kiwanda cha Samaki Perun Perikanan Nchini Indonesia pamoja na Mwenyeji wake Mkurugenzi Mtendaji Risyanto Suanda (wa pili kulia) katika  ziara ya Mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohammed Jusuf Kalla,(kushoto) Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malaysia pia akiiwakilisha Indinesia Mhe.Balozi Ramadhan Kitwana Dau,na Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe,Amina Salum Ali
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malaysia pia akiiwakilisha Indinesia Mhe.Balozi Ramadhan Kitwana Dau (katikati) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji Risyanto Suanda (kushoto) wa Kiwanda cha Samaki kiliopo Perusahaan Umum kinachojulikana kama Perun Perikanan Nchini Indonesia wakiwepo na  Viongozi wengine aliofuatana nao katika ziara ya kutembelea Kiwanda cha Samaki hicho jana akiwa  katika  ziara ya Mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohammed Jusuf Kalla.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akiwa na Viongozi katika Kiwanda hicho alipotembelea sehemu mbali mbali kuangalia kazi zinavyoendelea pamoja na  ujumbe wake alipotembelea kiwanda hicho jana katika ziara ya Mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohammed Jusuf Kalla.




Hivyo makala DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI NCHINI INDONESIA

yaani makala yote DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI NCHINI INDONESIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI NCHINI INDONESIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/dkshein-atembelea-kiwanda-cha-samaki.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI NCHINI INDONESIA"

Post a Comment