DC JERRY MURO AAHIDI KUSIMAMIA UBORA WA ELIMU ARUMERU, AMSHUKURU RAIS KWA KUTOA PIKIPIKI KWA WARATIBU WA ELIMU

DC JERRY MURO AAHIDI KUSIMAMIA UBORA WA ELIMU ARUMERU, AMSHUKURU RAIS KWA KUTOA PIKIPIKI KWA WARATIBU WA ELIMU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC JERRY MURO AAHIDI KUSIMAMIA UBORA WA ELIMU ARUMERU, AMSHUKURU RAIS KWA KUTOA PIKIPIKI KWA WARATIBU WA ELIMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC JERRY MURO AAHIDI KUSIMAMIA UBORA WA ELIMU ARUMERU, AMSHUKURU RAIS KWA KUTOA PIKIPIKI KWA WARATIBU WA ELIMU
kiungo : DC JERRY MURO AAHIDI KUSIMAMIA UBORA WA ELIMU ARUMERU, AMSHUKURU RAIS KWA KUTOA PIKIPIKI KWA WARATIBU WA ELIMU

soma pia


DC JERRY MURO AAHIDI KUSIMAMIA UBORA WA ELIMU ARUMERU, AMSHUKURU RAIS KWA KUTOA PIKIPIKI KWA WARATIBU WA ELIMU

Na Ripota Wetu,Globu ya jamii

MKUU wa Wilaya Arumeru mkoani Arusha Jerry Muro amemshukuru Rais Dk.John Magufuli kwa uamuzi wake wa kuendelea kuboresha sekta ya elimu kwa kutoa vitendea kazi kwa lengo la kuboresha sekta hiyo huku akiahidi kusimamia ubora wa elimu.

Muro amesema hayo wakati anakabidhi Pikipiki mpya 18 kwa waratibu wa elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru ambazo zimetolewa na Rais kupitia Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako, ikiwa sehemu ya mkakati wa Serikali ya Awamu ya Tano Chini ya Rais, Dkt. John Pombe Magufuli ya kufuatilia Ubora wa Elimu Nchini.

"Tunashukuru kwa vitendea kazi hivi ambavyo tumepewa na Rais kupitia Waziri wa Elimu.Tunaamini vitendea kazi hivi vitatumika kwa lengo ambalo limekusudiwa.

" Tutahakikisha tunainua kiwango cha ufaulu katika Halmashauri yetu ya Arumeru pamoja na kuinua kiwango cha elimu.Lengo ni kuhakikisha mtoto wa maskini anapata elimu iliyo bora,"amesema.

Amefafanua kuwa kupatikana kwa pikipiki hizo na kisha kuzigawa kwa waratibu wa elimu wilayani huo kunatoa nafasi ya wao kutimizamajukumu yao ya kufuatilia ubora wa elimu katika shule za Halmashauri ya Wilaya ya Arumeru.
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mh.Jerry Muro akiwa na baadhi ya piki piki alizowakabidhi Waratibu wa elimu katika halmashauri ya wilaya ya Meru



Hivyo makala DC JERRY MURO AAHIDI KUSIMAMIA UBORA WA ELIMU ARUMERU, AMSHUKURU RAIS KWA KUTOA PIKIPIKI KWA WARATIBU WA ELIMU

yaani makala yote DC JERRY MURO AAHIDI KUSIMAMIA UBORA WA ELIMU ARUMERU, AMSHUKURU RAIS KWA KUTOA PIKIPIKI KWA WARATIBU WA ELIMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC JERRY MURO AAHIDI KUSIMAMIA UBORA WA ELIMU ARUMERU, AMSHUKURU RAIS KWA KUTOA PIKIPIKI KWA WARATIBU WA ELIMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/dc-jerry-muro-aahidi-kusimamia-ubora-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DC JERRY MURO AAHIDI KUSIMAMIA UBORA WA ELIMU ARUMERU, AMSHUKURU RAIS KWA KUTOA PIKIPIKI KWA WARATIBU WA ELIMU"

Post a Comment