title : BENKI YA POSTA YATOA MSAADA WA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA SEKONDARI MLALE MKOANI SONGWE
kiungo : BENKI YA POSTA YATOA MSAADA WA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA SEKONDARI MLALE MKOANI SONGWE
BENKI YA POSTA YATOA MSAADA WA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA SEKONDARI MLALE MKOANI SONGWE
Meneja Mahusiano wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Bi. Noves Moses akimkabidhi msaada wa magodoro na mashuka Mbunge wa Jimbo la Ileje Mkoani Songwe Janeth Mbene (wapili kushoto) wenye thamani ya shilingi milioni 3.3 kwa ajili ya Shule ya Sekondari Mlale kama sehemu ya kupunguza changamoto zinazoikabili shule hiyo. Kushoto ni Mkuu wa Shule hiyo Bi. Furaha Mhagama.
Meneja Mahusiano wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Bi. Noves Moses akimkabidhi msaada wa magodoro na mashuka Mbunge wa Jimbo la Ileje Mkoani Songwe Janeth Mbene (wapili kushoto) wenye thamani ya shilingi milioni 3.3 kwa ajili ya Shule ya Sekondari Mlale kama sehemu ya kupunguza changamoto zinazoikabili shule hiyo. Kushoto ni mmoja wa wanafunzi wa shule hiyo aliyeshuhudia mmsaada huo kwao.
Mbunge wa Jimbo la Ileje Mkoani Songwe Janeth Mbene akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) na wanafunzi ya Sekondari ya Mlale mara baada ya kupokea msaada wa magodoro na mashuka yenye thamani ya Milioni 3.3 kutoka benki ya TPB.
Hivyo makala BENKI YA POSTA YATOA MSAADA WA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA SEKONDARI MLALE MKOANI SONGWE
yaani makala yote BENKI YA POSTA YATOA MSAADA WA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA SEKONDARI MLALE MKOANI SONGWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA POSTA YATOA MSAADA WA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA SEKONDARI MLALE MKOANI SONGWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/benki-ya-posta-yatoa-msaada-wa-magodoro.html
0 Response to "BENKI YA POSTA YATOA MSAADA WA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA SEKONDARI MLALE MKOANI SONGWE"
Post a Comment