BENKI YA BIASHARA YA DCB YAZINDUA HUDUMA YA KIDIJITALI IJULIKANAYO KAMA DCB DIGITAL BANKING JIJINI DODOMA.

BENKI YA BIASHARA YA DCB YAZINDUA HUDUMA YA KIDIJITALI IJULIKANAYO KAMA DCB DIGITAL BANKING JIJINI DODOMA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA BIASHARA YA DCB YAZINDUA HUDUMA YA KIDIJITALI IJULIKANAYO KAMA DCB DIGITAL BANKING JIJINI DODOMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA BIASHARA YA DCB YAZINDUA HUDUMA YA KIDIJITALI IJULIKANAYO KAMA DCB DIGITAL BANKING JIJINI DODOMA.
kiungo : BENKI YA BIASHARA YA DCB YAZINDUA HUDUMA YA KIDIJITALI IJULIKANAYO KAMA DCB DIGITAL BANKING JIJINI DODOMA.

soma pia


BENKI YA BIASHARA YA DCB YAZINDUA HUDUMA YA KIDIJITALI IJULIKANAYO KAMA DCB DIGITAL BANKING JIJINI DODOMA.

Na mwandishi wetu,Globu ya Jamii
BENKI ya Biashara ya DCB imezindua huduma maalum ijulikanayo kama DCB DIGITAL BANKING ambayo ni huduma za kibenki zinazopatikana kwa njia ya simu.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Jijini Dodoma Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dk Ashatu Kijaji alisema sote tumesikia DCB walikua wakwanza kuorodheshwa kwenye soko la hisa na leo DCB inakwenda kidijitali na ni ya kwanza kuzindua bidhaa zake nne muhimu hili ni jambo zuri sana kwa Benki ya DCB na Taifa letu hongereni sana.

Amesema ‘’Napenda pia niwashukuru sana uongozi wa benki hii kwa kutupatia nafasi sisi Wizara ya Fedha na Mipango kuja kua sehemu ya kihistoria katika sekta yetu ya fedha”.

Nikiwa kama kiongozi wa kusimamia maswala ya fedha nimefarijika sana kuwa pamoja nanyi lakini pia nimefarijika zaidi baada ya kuisikia historia ya DCB ikielezwa hapa mbele yetu na viongozi wa benki hio. Kwakweli ni tukio muhimu sana kwetu sekta ya fedha kwasababu kwa kauli mbiu hii ya SIMU YAKO,TAWI LETU inamaana Benki inawafikia watanzania kule walipo.

Kutokana na Ripoti ya Finscope ya mwaka 2017 ilionyesha idadi ya watanzania waliojiunga na mfumo rasmi wa kifedha imeongezeka kwa asilimia 14 kutoka mwaka 2013 chachu ya ongezeko hili ni pamoja na urahisi wa upatikanaji wa huduma za kifedha kupitia simu zetu za mkononi na mashine za kutolea fedha. Lakini kutokana na uzinduzi huu wa leo naamini tutaongeza zaidi ya asilimia 70 kwasababu tutawafikia kule waliko.

Nawaelekeza DCB kuwatembelea wakulima wetu kwa sababu moja ya mpango wa serikali wa maendeleo wa miaka mitano ulioanza kutekelezwa tangu 2016 hadi 2021 umejikita zaidi katika kujenga uchumi wa viwanda, hivyo hakuna Viwanda bila taasisi za kifedha hususan benki zetu na hakuna uchumi wa Viwanda bila wakulima ambao ndio wazalishaji wa malighafi za viwanda. Kupitia huduma kama hizi za kibenki nawahakikishia tutaifikisha Tanzania yetu ya uchumi wa kati wa viwanda kabla ya mwaka 2015. 
  Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji (wa tatu kushoto), akibonyezxa kitufe cha kompyuta kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma za kibenki katika mfumo wa kidigitali za Benki ya Biashara ya DCB jijini Dodoma. Wanaoangalia kutoka kushoto (mstari wa mbele ni; Mkurugenzi Mtendaji wa DCB, Godfrey Ndalahwa, Mwenyekiti wa Bodi ya DCB, Prof. Lucian Msambichaka, Mbunge wa Viti Maalumu, Mama Janeth Masaburi, Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Peter Pinda na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Patrobas Katambi. Huduma hizo ni pamoja na DCB Akaunti Kidigitali, Kibubu Kidigitali, Nusu Mshahara Kidigitali na huduma ya kutoa pesa katika ATM bila kadi.
 Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Peter Pinda (katikati), akishikana mikono na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashaitu huku Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Biashara ya DCB, Prof. Lucian Msambichaka akiangaalia mara baada ya uzinduzi huo.
 Mwenyekiti wa Bodi ya DCB, Prof. Lucian Msambichaka (kulia), akikabidhi tuzo kwa Naibu Waziri wa Fedha, Dk. Ashatu Kijaji aliyekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo jijini Dodoma
Baadhi ya waalikwa waliohudhuria tukio la uzinduzi wa DCB Digital jijini Dodoma.


Hivyo makala BENKI YA BIASHARA YA DCB YAZINDUA HUDUMA YA KIDIJITALI IJULIKANAYO KAMA DCB DIGITAL BANKING JIJINI DODOMA.

yaani makala yote BENKI YA BIASHARA YA DCB YAZINDUA HUDUMA YA KIDIJITALI IJULIKANAYO KAMA DCB DIGITAL BANKING JIJINI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA BIASHARA YA DCB YAZINDUA HUDUMA YA KIDIJITALI IJULIKANAYO KAMA DCB DIGITAL BANKING JIJINI DODOMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/benki-ya-biashara-ya-dcb-yazindua.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BENKI YA BIASHARA YA DCB YAZINDUA HUDUMA YA KIDIJITALI IJULIKANAYO KAMA DCB DIGITAL BANKING JIJINI DODOMA."

Post a Comment