Balozi Seif atembelea na kukagua mirad ya maendeleo kisiwani Pemba

Balozi Seif atembelea na kukagua mirad ya maendeleo kisiwani Pemba - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi Seif atembelea na kukagua mirad ya maendeleo kisiwani Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi Seif atembelea na kukagua mirad ya maendeleo kisiwani Pemba
kiungo : Balozi Seif atembelea na kukagua mirad ya maendeleo kisiwani Pemba

soma pia


Balozi Seif atembelea na kukagua mirad ya maendeleo kisiwani Pemba

 MUONEKANO wa Skuli ya Sekondari Micheweni ambayo inatarajiwa kugharimu zaidi ya Bilioni 2 katika ujenzi wake, ikiwa na vyumba 14 vya kusomea wanafunzi. (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akipata maelezo ya ramani ya ujenzi wa nyumba 30 za vijiji kwa ajili ya waathirika wa mvua za masika mwaka 2017 huko katika Shehia ya Tumbe Wilaya Micheweni , kutoka kwa mkurugenzi wa kamisheni ya kukabiliana na Maaafa zanzibar Makame Khatib, wakati wa ziara ya Mkoa wa Kaskazini (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MAKAMU wa Pili wa Rais zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana na askari wa KM KM bandarini Mkusa, wakati alipofika kuangalia athari za mabadiliko ya tabia nchi katika eneo la msuka bandarini, wakati wa ziara yake ya mkoa wa kaskazini Pemba (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA
 MAKAMU wa Pili wa Rais zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiangalia ramani juu ya ujenzi wa ukuta wa kuzuwia maji Chumvi katika eneo la Msuka bandarini Wilaya ya Micheweni, kutoka kwa mkurugenzi wa wakala wa majengo zanzibar Ramadhan Mussa Bakari, wakati alipofia kuangalia athari hizo katika ziara yake ya mkoa wa kaskazini Pemba. (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)  

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali iddi, akipata maelezo ya Ramani ya Ujenzi wa Chuo cha Mafunzo ya Amali Daya Mtambwe, kutoka kwa Wakala ya Majengo Pemba Mansour Mohamed Kassim, wakati alipotembelea chuo hicho katika Ziara yake ya Mkoa wa Kakazini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


Hivyo makala Balozi Seif atembelea na kukagua mirad ya maendeleo kisiwani Pemba

yaani makala yote Balozi Seif atembelea na kukagua mirad ya maendeleo kisiwani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Seif atembelea na kukagua mirad ya maendeleo kisiwani Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/balozi-seif-atembelea-na-kukagua-mirad.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Balozi Seif atembelea na kukagua mirad ya maendeleo kisiwani Pemba"

Post a Comment