VIONGOZI MBALIMBALI WAENDELEA KUTEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA VIWANJA VYA SABASABA

VIONGOZI MBALIMBALI WAENDELEA KUTEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA VIWANJA VYA SABASABA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIONGOZI MBALIMBALI WAENDELEA KUTEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA VIWANJA VYA SABASABA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VIONGOZI MBALIMBALI WAENDELEA KUTEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA VIWANJA VYA SABASABA
kiungo : VIONGOZI MBALIMBALI WAENDELEA KUTEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA VIWANJA VYA SABASABA

soma pia


VIONGOZI MBALIMBALI WAENDELEA KUTEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA VIWANJA VYA SABASABA

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama akizungumza na Maafisa wa Ofisi ya Bunge alipotembelea Banda lao katika Maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba. Kulia ni Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Eng. Stella Manyanya.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Eng. Stella Manyanya  na Maafisa wa Ofisi ya Bunge alipotembelea Banda lao katika Maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba.
 Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Adelardus Kilangi akisikiliza maelezo kuhusu shughuli mbalimbali za Bunge kutoka kwa Mwandishi  Mwandamizi wa Taarifa Rasmi za Bunge Bw. Paston Sobha alipotembelea Banda lao katika Maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba.
 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu Jenerali Mirisho Sarakikya akisikiliza maelezo kuhusu shughuli mbalimbali za Bunge kutoka kwa Mwandishi  Mwandamizi wa Taarifa Rasmi za Bunge Bw. Paston Sobha alipotembelea Banda lao katika Maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndungulile akisaini Kitabu cha Wageni alipotembelea Banda la Bunge katika Maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba.
PICHA NA BUNGE


Hivyo makala VIONGOZI MBALIMBALI WAENDELEA KUTEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA VIWANJA VYA SABASABA

yaani makala yote VIONGOZI MBALIMBALI WAENDELEA KUTEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA VIWANJA VYA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VIONGOZI MBALIMBALI WAENDELEA KUTEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA VIWANJA VYA SABASABA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/viongozi-mbalimbali-waendelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "VIONGOZI MBALIMBALI WAENDELEA KUTEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA VIWANJA VYA SABASABA"

Post a Comment