Mwanafunzi Bora Zanzibar Kutoka Skuli ya Sekondari Lumumba Fahad Rashid Salum.

Mwanafunzi Bora Zanzibar Kutoka Skuli ya Sekondari Lumumba Fahad Rashid Salum. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mwanafunzi Bora Zanzibar Kutoka Skuli ya Sekondari Lumumba Fahad Rashid Salum., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mwanafunzi Bora Zanzibar Kutoka Skuli ya Sekondari Lumumba Fahad Rashid Salum.
kiungo : Mwanafunzi Bora Zanzibar Kutoka Skuli ya Sekondari Lumumba Fahad Rashid Salum.

soma pia


Mwanafunzi Bora Zanzibar Kutoka Skuli ya Sekondari Lumumba Fahad Rashid Salum.

HONGERA FAHAD, HONGERA LUMUMBA

Fahad Rashid Salum    mwenye umri wa miaka 20 ni mwanafunzi ambaye ametuletea faraja mpya kwa Skuli ya Lumumba pamoja na Wazanzibari wote baada ya kuweza kuirudisha hadhi ya Skuli hii kwa kupata Division One ya point 3, akiwa na alama "A" katika masomo ya Mathematics, Physics na Chemistry na kuchaguliwa kuwa miongoni mwa wanafunzi bora kitaifa kwa masomo ya Sayansi.

Mapema hivi karibuni, tarehe 7 Julai 2018 katika mahafali ya Kidato cha sita ya Skuli ya Lumumba , Fahad alizawadiwa kuwa mwanafunzi bora wa masomo ya sayansi, huku akikwapua zawadi ya mwanafunzi bora wa Advance Mathematics na mwanafunzi bora wa Physics.

Kabla ya Kujiunga Lumumba, Fahad alipasi mchepuo kutoka Skuli ya msingi ya Mtopepo mnamo mwaka 2012.

Mwaka 2015, Fahad alitokea mwanafunzi wa pili bora kitaifa kwa Zanzibar kwa wanafunzi wa kidato cha nne ambaye alipata Division One ya point 10.


Hivyo makala Mwanafunzi Bora Zanzibar Kutoka Skuli ya Sekondari Lumumba Fahad Rashid Salum.

yaani makala yote Mwanafunzi Bora Zanzibar Kutoka Skuli ya Sekondari Lumumba Fahad Rashid Salum. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mwanafunzi Bora Zanzibar Kutoka Skuli ya Sekondari Lumumba Fahad Rashid Salum. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mwanafunzi-bora-zanzibar-kutoka-skuli.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mwanafunzi Bora Zanzibar Kutoka Skuli ya Sekondari Lumumba Fahad Rashid Salum."

Post a Comment