MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO WAANZA KUTEKELEZA MKAKATI WA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA UTALII

MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO WAANZA KUTEKELEZA MKAKATI WA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA UTALII - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO WAANZA KUTEKELEZA MKAKATI WA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA UTALII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO WAANZA KUTEKELEZA MKAKATI WA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA UTALII
kiungo : MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO WAANZA KUTEKELEZA MKAKATI WA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA UTALII

soma pia


MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO WAANZA KUTEKELEZA MKAKATI WA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA UTALII

Na Ripota Wetu, Arusha 
MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), imeanza kutekeleza mkakati wa kushirikishana na wawekezaji waliopo sekta ya utalii ili kubaini maeneo mapya yanayofaa kwa uwekezaji kwenye hifadhi hiyo.

Wajumbe wa Menejimenti ya NCAA wamefanya ziara ya kutembelea maeneo hayo yanayofaa kuwa uwekezaji katika huduma tofauti ikiwamo hoteli, kambi, utalii wa magari ya waya maeneo ya bonde la Ngorongoro na Embakai.

Chini ya uratibu wa Mpango wa matumizi bora (GMP), imeelezwa kwamba maeneo haya yataongeza makusanyo ya mapato kutokana na shughuli za utalii kwenye mamlaka ya hifadhi hiyo.

Akizungumza kwenye ziara hiyo Naibu Mhifadhi wa mamlaka hiyo Asangye Bangu alisema, ziara hiyo imelenga kuangalia maeneo yanayofaa kwa uwekezaji  kama hoteli,kambi za muda za kulala wageni ,utalii wa baluni na biashara nyingine ndani ya hifadhi ikiwamo kuhakikisha wanakuwa na mpango endelevu wa uhifadhi,utalii na jamii inanufaika
 Naibu Mhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro Asangye Bangu akizungumza na wafanyabiahara wawekezaji waliofanya ziara ya kujionea maeneo mapya ya uwekezaji kwenye hifadhi hiyo. 
 Naibu Mhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro (NCAA) Asangye Bangu kulia, akizungumza na wafanyabiahara wawekezaji waliofanya ziara ya kujionea maeneo mapya ya uwekezaji kwenye hifadhi hiyo.  
 Wawekezaji na baadhi ya wafanyakazi wa Hifadhi ya Ngorongoro wakijadiliana baadhi ya masuala ya utalii pembeni mwa kivutio cha mwamba wa Nasera Rock kinavyopatikani hifadhin humo.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mawakala wa Utalii nchini (TATO), Wilbard Chambulo akiwaonyesha wawekezaji wenzake pamoja na maofisa wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro baadhi ya maeneo yanayozunguka kivutio cha Nasera Rock.
 Baadhi ya wawekezaji waliotembelea Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro wakimsikiliza Naibu Mhifadhji Asangye Bangu.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO WAANZA KUTEKELEZA MKAKATI WA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA UTALII

yaani makala yote MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO WAANZA KUTEKELEZA MKAKATI WA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA UTALII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO WAANZA KUTEKELEZA MKAKATI WA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA UTALII mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mamlaka-ya-hifadhi-ya-ngorongoro-waanza.html

Subscribe to receive free email updates:

1 Response to "MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO WAANZA KUTEKELEZA MKAKATI WA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA UTALII"

  1. Hongera mamlaka ya hifadhi ya ngorongoro ila bado Luna maeneo mengi

    ReplyDelete