title : KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAGUA MRADI WA UBORESHAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM
kiungo : KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAGUA MRADI WA UBORESHAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM
KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAGUA MRADI WA UBORESHAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, akitoa ufafanuzi kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuhusu namna Kituo cha Mafuta (KOJ) kinavyofanya kazi, wakati kamati hiyo ilipotembelea bandari ya Dar es Salaam.
Kaimu Meneja wa Kituo cha Mafuta (KOJ), Sixtus Karia akifafanua jambo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu namna meli zinavyopakua mafuta katika kituo cha hicho katika bandari ya Dar es Salaam, wakati kamati hiyo ilipotembelea mradi wa upanuzi wa bandari hiyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Moshi Kakoso, akitoa maelekezo kwa uongozi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), wakati kamati hiyo ilipofanya ziara bandari ya Dar es Salaam.
Muonekano wa kazi zikiendelea kwenye mradi wa upanuzi wa gati namba 1 mpaka 7 katika bandari ya Dar es Salaam. Mradi huo unahusisha gati mpya ya kuhudumia meli za magari.
Hivyo makala KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAGUA MRADI WA UBORESHAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM
yaani makala yote KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAGUA MRADI WA UBORESHAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAGUA MRADI WA UBORESHAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/kamati-ya-bunge-ya-miundombinu-yakagua.html
0 Response to "KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAGUA MRADI WA UBORESHAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM"
Post a Comment