title : JAFO ATEMBELEA SHULE YA KIMBIJI KUTOA POLEA KUFUATIA KIFO CHA WANAFUNZI WANNE.
kiungo : JAFO ATEMBELEA SHULE YA KIMBIJI KUTOA POLEA KUFUATIA KIFO CHA WANAFUNZI WANNE.
JAFO ATEMBELEA SHULE YA KIMBIJI KUTOA POLEA KUFUATIA KIFO CHA WANAFUNZI WANNE.
Na John Luhende
Mwamba wa habari
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI Suleiman Jafo amewataka walimu na wakuu wa shule zote nchini kutowaruhusu wanafunzi kufanyia sherehe katika maeneo mageni wasiyo yazoea ili kuwalinda na ajali zinazoweza kuwa kuta.
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI Suleiman Jafo amewataka walimu na wakuu wa shule zote nchini kutowaruhusu wanafunzi kufanyia sherehe katika maeneo mageni wasiyo yazoea ili kuwalinda na ajali zinazoweza kuwa kuta.
Waziri Jafo Ameyasema hayo leo alipofika kutoa pole katika shule ya sekondari Kimbiji Manispaa ya Kigamboni kufuatia vifo vya wanafunzi wanne walikufamaji juzi tarehe 28,walipokuwa wakiogelea bahari ya Hindi wakiwa katika sherehe ya kujipongeze baada ya shule yao kushika nafasi ya kwanza kiwilaya na kumi bora katika mkoa katika mtihani wa MOCK.
Amesema agizo hilo amelitoa kwakuwa kunamatukio mengi yamekuwa yakiripotiwa na kufanyahivyo kutasaidia kupunguza na kukomesha matukio hayo, na kuwataka wanafunzi kusoma kwa bidii ili na kuwatia moyo kwa msiba mkubwa uliowapata .
"Wanafunzi mnatakiwa sasa kuwa nasubira kwa kipindi hiki kigumu maana ninyi sasa ni familia moja hapa shuleni akitutoka hatammojatu kati yenu unakuwa ni msiba kwetu sote, Mwenyezi Mungu atawafanyia wepesi mtafaulu mitihani yenu lakini piamsisahau kuwaombea wenzenuwaliotanguliambele ya haki Mwenyezi Mungu awaandalie mazingira mazuri " alisema
Aidha amewataka wanafunzi kutumia muda wao vizuri kwa kusoma na kuwashirikisha walimu katika masomo yao ili waweze kuwasaidia.
" Zamani tulikuwa na walimu wachache lakini kwa sasa nimeambiwa mna walimu zaidi ya 20,tumienifursahii vizuri kuwa sumbua walimu wenu wawafundishe kile ambacho wanacho .
Hatahivyo amesema kuwa serikali inatoa shilingi bilioni 23.8kila mwezi kugharamia Elimubure ili wanafunzi waweze kusoma.
Pamoja na hayo Jafo amesema Ofisi yake kupitia Katibu Tawala wa Wilaya ya Kigamboni itafikisha ujumbe wa ofisi ya Rais na rambirambi pamoja kuwajulia hali wafiwa wote.
Kwaupande wake Katibu Tawala wa Wilaya ya Kigamboni Raheli Mando , amemshukuru Waziri Jafo kwa kufika shuleni hapo na kuahidi kuyafanyia kazi maagizo yote aliyoyatoa .
Hivyo makala JAFO ATEMBELEA SHULE YA KIMBIJI KUTOA POLEA KUFUATIA KIFO CHA WANAFUNZI WANNE.
yaani makala yote JAFO ATEMBELEA SHULE YA KIMBIJI KUTOA POLEA KUFUATIA KIFO CHA WANAFUNZI WANNE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JAFO ATEMBELEA SHULE YA KIMBIJI KUTOA POLEA KUFUATIA KIFO CHA WANAFUNZI WANNE. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/jafo-atembelea-shule-ya-kimbiji-kutoa.html
0 Response to "JAFO ATEMBELEA SHULE YA KIMBIJI KUTOA POLEA KUFUATIA KIFO CHA WANAFUNZI WANNE."
Post a Comment