title : BREAKING NEWS: MAKAMU MWENYEKITI WA YANGA CLEMENT SANGA AJIUZULU NAFASI YAKE
kiungo : BREAKING NEWS: MAKAMU MWENYEKITI WA YANGA CLEMENT SANGA AJIUZULU NAFASI YAKE
BREAKING NEWS: MAKAMU MWENYEKITI WA YANGA CLEMENT SANGA AJIUZULU NAFASI YAKE
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga amejiuzulu nafasi yake katika klabu hiyo kuanzia leo hii.
Amesisitiza kuendelea kuwa mwanachama na kuisaidia klabu ya Yanga katika kila hali.
Kwa upande wa hela zinazozungumziwa za Milioni 240 za kutoka CAF, Sanga amesema Yanga imekuwa na changamoto nyingi sana katika upande wa fedha na wamekuwa wana madeni makubwa ambayo wanakatwa katika mapato ya mlangoni ikiwemo Deni la Ardhi na madeni mengine pia.
Habari kamili inakuijia hivi punde
Hivyo makala BREAKING NEWS: MAKAMU MWENYEKITI WA YANGA CLEMENT SANGA AJIUZULU NAFASI YAKE
yaani makala yote BREAKING NEWS: MAKAMU MWENYEKITI WA YANGA CLEMENT SANGA AJIUZULU NAFASI YAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWS: MAKAMU MWENYEKITI WA YANGA CLEMENT SANGA AJIUZULU NAFASI YAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/breaking-news-makamu-mwenyekiti-wa.html
0 Response to "BREAKING NEWS: MAKAMU MWENYEKITI WA YANGA CLEMENT SANGA AJIUZULU NAFASI YAKE"
Post a Comment