title : AIRTEL MONEY YAUNGABNA NA SERIKALI KURAHISISHA MALIPO KUPITIA MFUMO WA GePG
kiungo : AIRTEL MONEY YAUNGABNA NA SERIKALI KURAHISISHA MALIPO KUPITIA MFUMO WA GePG
AIRTEL MONEY YAUNGABNA NA SERIKALI KURAHISISHA MALIPO KUPITIA MFUMO WA GePG
Mwamba wa habari
Kampuni ya simu za mkononi Airtel Tanzania imezindua mfumo wa malipo wa kidijitali kwa huduma za serikali utakaowezesha wateja wa mtandao huo zaidi ya milioni 10 kufanya malipo ya bili mbalimbali kupitia huduma ya Airtel Money.
Akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Tanzania, Isack Nchunda amesema mfumo huo utatoa suluhisho la malipo rahisi ya papo kwa papo kupitia huduma ya Airtel Money.
“Idadi ya wateja wa Airtel Money inakua siku hadi siku na hivyo kufanikisha moja kati ya malengo ya serikali kuhakikisha kuwa inafanikisha upatikanaji wa huduma za kifedha kila mahali yaani mjini na vijijini. Nachukua fursa hii kuwaomba watanzania kutumia mfumo huu kwani ni salama,” amesema Nchunda.
Naye Mwakilishi wa Mfumo wa Malipo ya Kidijitali wa Serikali- GePG, Basil Baligumya amesema hadi sasa taasisi za serikali takribani 260 zimejisajili kwenye mfumo huo ikiwemo Halmashauri, Brela, Tanesco, Dawasco.
“Mfumo huo wa serikali kwa ajili ya kulipia huduma zote za serikali, kumrahisishia mwananchi kulipa kupitia mitandao ya simu, unatengeneza namna ambayo inafanana katika kulipia huduma zote za serikali kwa taasisi zilizounganishwa ikiwemo halmashauri, huduma za umeme, maji.
Taasisi taribani 260 zimeingia kwenye mfumo huo, mfano brela tbc b, mfano, ukiingia kwenye menu ya airtel ndani ya kipindi si kirefu taasisi zote za umma zitaingia kwenye mfumo huu zinazotoa huduma kwa umma.
Hivyo makala AIRTEL MONEY YAUNGABNA NA SERIKALI KURAHISISHA MALIPO KUPITIA MFUMO WA GePG
yaani makala yote AIRTEL MONEY YAUNGABNA NA SERIKALI KURAHISISHA MALIPO KUPITIA MFUMO WA GePG Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala AIRTEL MONEY YAUNGABNA NA SERIKALI KURAHISISHA MALIPO KUPITIA MFUMO WA GePG mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/airtel-money-yaungabna-na-serikali.html
0 Response to "AIRTEL MONEY YAUNGABNA NA SERIKALI KURAHISISHA MALIPO KUPITIA MFUMO WA GePG"
Post a Comment