YANGA ,SIMBA NA JKU WATINGA KENYA SPORT PESA SUPER CUP,SINGIDA KUWAFUATA

YANGA ,SIMBA NA JKU WATINGA KENYA SPORT PESA SUPER CUP,SINGIDA KUWAFUATA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YANGA ,SIMBA NA JKU WATINGA KENYA SPORT PESA SUPER CUP,SINGIDA KUWAFUATA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YANGA ,SIMBA NA JKU WATINGA KENYA SPORT PESA SUPER CUP,SINGIDA KUWAFUATA
kiungo : YANGA ,SIMBA NA JKU WATINGA KENYA SPORT PESA SUPER CUP,SINGIDA KUWAFUATA

soma pia


YANGA ,SIMBA NA JKU WATINGA KENYA SPORT PESA SUPER CUP,SINGIDA KUWAFUATA


Vikosi vya Yanga ,Simba, JKU cha Zanzibar vimeondoka nchini kwenda Nairobi nchini Kenya.Yanga ,Simba ,Singida united na JKU wanakwenda kushiriki michuano ya SportPesa Super Cup itakayofanyika mjini Nakuru nchini Kenya.Michuano hiyo itaanza Jumapili ikishirikisha timu nane, nne kutoka Tanzania na nne kutoka Kenya.
Kikosi kamili cha Yanga Sports Club  kilichoelekea nchini Kenya kwenye michuano ya SportPesa Super Cup .

Kikosi kamili cha Simba SC kilichoelekea nchini Kenya kwenye michuano ya SportPesa Super Cup. Simba wanatarajiwa kufungua dimba na Kariobangi Sharks Jumapili kabla ya mahasimu wao wa jadi, Yanga kuvaana na Kakamega Homeboys Jumatatu 4, mechi zote zikichezwa Uwanja wa Afraha, Nakuru, Gor Mahia itaanza na JKU Juni 3, wakati Singida United itaanza na AFC Leopards Juni 5.Kikosi kamili cha timu ya Jeshi la Kujenga Uchumi(JKU)



Hivyo makala YANGA ,SIMBA NA JKU WATINGA KENYA SPORT PESA SUPER CUP,SINGIDA KUWAFUATA

yaani makala yote YANGA ,SIMBA NA JKU WATINGA KENYA SPORT PESA SUPER CUP,SINGIDA KUWAFUATA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YANGA ,SIMBA NA JKU WATINGA KENYA SPORT PESA SUPER CUP,SINGIDA KUWAFUATA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/yanga-simba-na-jku-watinga-kenya-sport.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "YANGA ,SIMBA NA JKU WATINGA KENYA SPORT PESA SUPER CUP,SINGIDA KUWAFUATA"

Post a Comment