title : WAFUGAJI NCHINI WATAKIWA KUUNDA VYAMA VYA USHIRIKA
kiungo : WAFUGAJI NCHINI WATAKIWA KUUNDA VYAMA VYA USHIRIKA
WAFUGAJI NCHINI WATAKIWA KUUNDA VYAMA VYA USHIRIKA
Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Joseph Kandege amewaagiza wafugaji nchini kuunda vyama vya ushirika imara ambavyo vitawezesha kupata huduma za mifugo na kuboresha ukusanyaji na masoko ya maziwa.
Mhe Kandege ameyasema hayo kwenye kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Maziwa iliyofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Nanenane, Themi Mkoani Arusha Mhe. Kandege amesema uwepo wa ushirika imara utaboresha ukusanyaji wa maziwa kwa wingi kwa ufanisi zaidi na hatimaye kuongeza kiasi cha usindikaji kwa viwanda.
“Napenda kutoa pongezi kwa wafugaji wa Mikoa ya Tanga na Njombe kwa kuwa mfano mzuri wa kuigwa kwa mafanikio yanayoonekana katika kuendeleza tasnia ya maziwa kupitia ushirika” Amesema Kandege.Amesisistiza kuwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na idara zake nchini kuhakikisha zinawezesha uundwaji wa vyama vya ushirika imara na pia wanaimarisha vyama vya ushirika vilivyopo.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Joseph Kandege akikagua moja ya machine inayotumika katika usindikaji wa maziwa kwenye kilele cha maadhimisho ya wiki ya maziwa kilichofanyika leo katika viwanja Nanenane Themi, Mkoani Arusha.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Joseph Kandege akikabidhiwa maziwa kwa ajili ya shule mbalimbali katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya maziwa kilichofanyika leo katika viwanja Nanenane Themi, Mkoani Arusha.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Joseph Kandege akiwa na baadhi ya viongozi wakati akitembelea mabanda ya maonyesho kwenye kilele cha maadhimisho ya wiki ya maziwa kilichofanyika leo katika viwanja Nanenane Themi, Mkoani Arusha.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Joseph Kandege akiongea na wadau wa ufugaji katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya maziwa kilichofanyika leo katika viwanja Nanenane Themi, Mkoani Arusha.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

Hivyo makala WAFUGAJI NCHINI WATAKIWA KUUNDA VYAMA VYA USHIRIKA
yaani makala yote WAFUGAJI NCHINI WATAKIWA KUUNDA VYAMA VYA USHIRIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAFUGAJI NCHINI WATAKIWA KUUNDA VYAMA VYA USHIRIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/wafugaji-nchini-watakiwa-kuunda-vyama.html
0 Response to "WAFUGAJI NCHINI WATAKIWA KUUNDA VYAMA VYA USHIRIKA"
Post a Comment