title : TARIMBA ABBAS MWENYEKITI KAMATI YA USAJILI
kiungo : TARIMBA ABBAS MWENYEKITI KAMATI YA USAJILI
TARIMBA ABBAS MWENYEKITI KAMATI YA USAJILI
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Mkutano Mkuu wa Yanga uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam umemteua Tarimba Abbas kuwa mwenyekiti odi ya wa kamati maalumu ya kushughulikia usajili na mikataba ya wachezaji akisaidiwa na aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Mecky Saddick.
Uteuzi huo umefanywa na bodi ya wadhamini na kuamua kuunda kamati maalumu kwa ajili ya kushughulikia usajili na mikataba yote ya wachezajia.
Kamati hiyo maalumu inaanza kazi moja kwa moja kuhakikisha wanafanya usajili wa makini na pia kuipitia mikataba ya wachezaji waliomaliza muda wao na wale waliopo bado hawajamaliza.
Bodi ya wadhamini imeweza pia kuteua wajumbe watakaosaidiana ambao ni Abdallah bin Kleib, Ridhiwani Kikwete,Nyika Hussein,Samuel Lukumay,Mashauri Lucas, Yusuphed Mhandeni na Ahmed Islam.
Wengine ni Makaga Yanga,Majid Suleiman na Ndama ambao wanatakiwa kuhakikisha usajili wa Yanga unaenda kama walivyopanga.
Mkutano huo uliweza kumalizika kwa amani na wanachama wote kuazimia kwenda katika mfumo wa mabadiliko
Hivyo makala TARIMBA ABBAS MWENYEKITI KAMATI YA USAJILI
yaani makala yote TARIMBA ABBAS MWENYEKITI KAMATI YA USAJILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TARIMBA ABBAS MWENYEKITI KAMATI YA USAJILI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/tarimba-abbas-mwenyekiti-kamati-ya.html
0 Response to "TARIMBA ABBAS MWENYEKITI KAMATI YA USAJILI"
Post a Comment