title : TAMCO YANDAA SHEREHE ZA EID EL FITR DMV
kiungo : TAMCO YANDAA SHEREHE ZA EID EL FITR DMV
TAMCO YANDAA SHEREHE ZA EID EL FITR DMV
Mwenyekiti wa TAMCO Ally Mohamed (kushoto) akiwa pamoja nae Balozi mstaafu wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani,Mhe. Mustafa Nyang'anyi katika sherehe ya Eid el Fitr iliyofanyika siku ya Ijumaa June 15, 2018 Silver Spring, Maryalnd. Jumuiya hiyo ya Kiislam DMV ilisherehekea sherehe hiyo sambamba na Waislam wengine, Duniani. Picha na Vijimambo Blog na Kwanza production kwa hisani ya Kilimanjaro Studio
WaTanzania DMV wakijumuika pamoja kusherehekea sikukuu ya Eid el Fitr iliyofanyika siku ya Ijumaa June 15, 2018 Silver Spring, Marland.
Makamu wa Rais wa Jumuiya ya waTanzania DMV Bi. Joha Nyang;anyi akihudhuria sherehe hizo kulia ni mama yake mama Nyang'anyi.
WaTanzania wakijumuika pamoja kusherehekea sikukuu ya Eid el Fitr DMV, kulia ni Mikidadi Ally Mweka hazina msaidizi wa Jumuiya ya waTanzania DMV.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi.
Hivyo makala TAMCO YANDAA SHEREHE ZA EID EL FITR DMV
yaani makala yote TAMCO YANDAA SHEREHE ZA EID EL FITR DMV Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAMCO YANDAA SHEREHE ZA EID EL FITR DMV mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/tamco-yandaa-sherehe-za-eid-el-fitr-dmv.html
0 Response to "TAMCO YANDAA SHEREHE ZA EID EL FITR DMV"
Post a Comment